Hivi tulishindwa tu kununua Madafu ya kutosha Nje ya Ikulu hadi kuruhusu Wauza Madafu na Baiskeli zao Mbovu na Kongwe waingie nazo Ikulu kienyeji?

Mimi nahisi, jamaa zetu walikodisha baiskeli za madafu zinazozagaa kule fukwe ya Agakhan.
Nimeniuliza sana sana how come ikaja?

Madafu namna ile Ikulu badala ya kuyaserve kwenye manner inayopromote hadhi ya jumba leu... kha
 
Hiyo outro umepiga hapo mwishoni, sio tu inachekesha ila ukifikiri kwa upana inatisha sana aisee
 
Nadhani hana maana kuwa wauza madafu hawawezi / hawapaswi kuingia ikulu, ila kwa jinsi hii Tanzania ilivyo hicho kitu ni hakiwezekaniki / ni ngumu kama gereza la Sona la Lachero.

Kama huamini, tafuta muuza madafu mwambie aende pale ikulu au kwenye yale mageti asogelee naimani akirudi atakwambia mkuu.
 
chama cha mapinduzi kimekua msaada na msikilizaji mkuu wa wanyonge

imani yangu ikulu ni mahali patakatifu na nikimbilio ya myonge yoyote nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…