Hivi tulishindwa tu kununua Madafu ya kutosha Nje ya Ikulu hadi kuruhusu Wauza Madafu na Baiskeli zao Mbovu na Kongwe waingie nazo Ikulu kienyeji?

Hivi tulishindwa tu kununua Madafu ya kutosha Nje ya Ikulu hadi kuruhusu Wauza Madafu na Baiskeli zao Mbovu na Kongwe waingie nazo Ikulu kienyeji?

Kwani wewe ulienda ukafukuzwa?

Ikulu ni ofsi ya umma, hata wewe kesho amka nenda magogoni utapokelewa ukifata taratibu, hakuna wa kukupa adhabu yoyote

Mbona unatuonyesha kabisa kama wewe ni mtu wa namna gani kichwani
 
Mnaacha kutumia muda wenu mwingi kufikiria kwa Akili Kubwa jinsi ya kutatua Changamoto lukuki zinazowakabili Watanzania na Taifa la Tanzania nyie Kutwa mpo katika kutengeneza Maigizo ya Kipumbavu na Kishamba (kama mlivyo) ili tu muonekane Mnapenda na kujali kila Mtu, Wanyenyekevu na mno Huruma na Hambagui Mtu.

Mtatumia mno Nguvu ili mkubalike ila Ukweli utabaki palepale kuwa HAMPENDWI hata kama tumenunua Mafuta ya Mzaituni kutoka Israeli ili kuyapaka kila Siku, kila Jumamosi kuombewa na Tapeli wa Tanganyika Packers Kawe (kwa Kuitwa Feri) na tunatumia Waganga Wakubwa (kutoka nchi Tatu za Afrika) ili kuzing'arisha Nyota zetu ambazo pamoja na juhudi zote hizi bado hazijang'aa na ndiyo Kwanza tu Kuchukiwa, Kutoaminika na Kudharaulika nao kunazidi huku Wanafiki wakiendelea Kudanganya ili wale Fedha zako zisizo na Kazi.

Tunakumbushana tu kuwa Yanga SC itacheza na Mamelodi Sundowns FC na Simba SC itacheza na Al Ahly FC ambapo kwa Lugha nyepesi tunasema kuwa Warembo wamejipeleka wenyewe Maghettoni mwa Wanamume wa Kizulu na wa Kiarabu Kudadadeki.
Acha wauza madafu nao wajipatie rizki, na wakutane na Rais wao.
Rais ni wa wote..hata sisi tungepata hiyo nafasi kuingia ikulu tungeifurahia.


Yanga na Simba hatimaye wanaumaliza mwendo
Tanzania sisi mpira hatuwezi,tudeal na mambo mengine.
 
Daah watu weusi mna roho mbaya sana na dharau za ajabu muuza Madafu nae si raia ana haki kama mtu mwingine...ninyi ndio mkipata visent kidogo tu mnachagua mpaka ndugu wa kuja kuwasalimia huo ni Umasikini unakua kwenye damu hautoki hata uwe tajiri kiasi gani...
Shangaa na wewe Mkuu
Wauza madafu nao ni binadamu kama wengine.

Kwani wao hawana haki ya kuonana na Rais?
Tusiwaonee wivu.
 
Nimezaliwa Agha Khan Hospital iliyoko Mkoani Dar es Salaam huku Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyeree akiwa wa Kwanza kuja Kuniona akirokea Jirani Ikulu na kunipa Jina la mwana Mapinduzi mkubwa barani Afrika ninalotumia hadi leo.

Nilikuwa sijui kumbe Agha Khan Hospital iko / ilikuwa Kijijini ( Mikoani ) late 70"s?

Pumbavu.
Yaani uzaliwe Daslm halafu uwe umechelewa hivyo ni ngumu sana kuamini...
 
Back
Top Bottom