Hivi tulishindwa tu kununua Madafu ya kutosha Nje ya Ikulu hadi kuruhusu Wauza Madafu na Baiskeli zao Mbovu na Kongwe waingie nazo Ikulu kienyeji?

Kwani wewe ulienda ukafukuzwa?

Ikulu ni ofsi ya umma, hata wewe kesho amka nenda magogoni utapokelewa ukifata taratibu, hakuna wa kukupa adhabu yoyote

Mbona unatuonyesha kabisa kama wewe ni mtu wa namna gani kichwani
 
Acha wauza madafu nao wajipatie rizki, na wakutane na Rais wao.
Rais ni wa wote..hata sisi tungepata hiyo nafasi kuingia ikulu tungeifurahia.


Yanga na Simba hatimaye wanaumaliza mwendo
Tanzania sisi mpira hatuwezi,tudeal na mambo mengine.
 
Shangaa na wewe Mkuu
Wauza madafu nao ni binadamu kama wengine.

Kwani wao hawana haki ya kuonana na Rais?
Tusiwaonee wivu.
 
Yaani uzaliwe Daslm halafu uwe umechelewa hivyo ni ngumu sana kuamini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…