Uchaguzi 2020 Hivi Tundu Lissu akishindwa mtafanya nini?



lowasa mwenye uzoefu wa ccm miaka karibia 50 amenawa mikono na yeye alikua ndan ya ccm , uyo mbuzi anaepungia miti ndo unasema amechangamsha uchaguzi? mbna mshindi anajulikana mpaka 2100
 
Awamu ya nne wengine tulikuwa na cdm ya Slaa. Na cdm ikashindwa na ccm maisha yaliendelea. Mwaka 2015 Lissu na genge lake walipompangishia EL chama tukalisongesha na JPM wa CCM maisha ya liendelea. Iweje leo uulize swali hili?
 
Hashindwi, na Magu akishindwa mtafanyaje
 
Ashindwe kwenye Uchaguzi HURU na wa HAKI. Kuwepo na UWAZI wa kuhesabu kura na kura zihesabiwe HADHARANI.

 
Lissu atapata kura za kumpa ushindi hiloka halina mashaka ila hatatangazwa, tofauti na Lowasa yeye Hatakubali. Kitakachotokea kinategemea support atakayopata kutoka kwa wanachadema/wananchi.
 
Ukiwa muongo basi uwe na kumbukumbu. Ungeacha siasa usingeuliza kuhusu mustakabali wa Lissu pekee bali na wa Magufuli pia...because either could lose the election, at least theoretically!
 
Kwa nini wa upande wa pili wasifikirie kushindwa
 
Akishindwa kihalali tutakubaliana na matokeo, lakini CCM wakishindwa kihalali watakimbilia mstuni.
 
Kwa kusema ujio wa Lissu umechangamsha uchaguzi huu, kwa kweli NI KUTOWATENDEA HAKI akina Zitto, Membe, Maalim na wagombea wengine wote kwenye ngazi ya Urais. yaani hao wengine si kitu kwenye uchaguzi huu au vipi? Naona sikuelewi!
 
Kwa hiyo CCM wanashinda kwa sababu ya tume??
 
Tume haipangi matokea; inajumulisha kura na kuzitangaza. Kwenye vituo vya kura, kila chama kina wakala ambao ndio wanatakaiwa kuwa kura zinahesabiwa vizuri kusudi tume ikizijumulisha itoe mshindi wa halali. Kuna uwezekanao wa mawakala watatu: (a) walio makini kuhakikisha kura zote zinahesbaiwa vizuri na kwa uwazi; (b) wasikuwa makini lakini wana harakati ambao wako pale kuhakikisha chama chao kinashidna na iwapo idadi ya kura haitoonyesha hivyo, basi watalalamika kuibiwa kura bila hata ushahdi wowote; (c) mawakaa wasiokuwa makini kabisa ambao hawajui hata kazi yao bali wapo wapo tu. Kuwapo kwa mawakala wazuri wa aina ya (a) hapo juu ni jambo la muhimu sana kuhakikisha uchaguzi wa amani ambapo walioshindwa wanakubali na maisha yanaendelea badala ya kuanza malalamiko yanayogawa watu.
 
Mwanaume hawezagi kuanzisha hizi maada za kuogopa ogopa, Tutahamia kwako dada
 
CCM hawawezi kushinda bila bao la mkono na likitokea nchi itayumba.
 
Kama nilifeli hesabu kwa kukosa mwalimu mzuri nitashauri wanafunzi watafute mbinu nyingine wafaulu ila sio mbinu niliyotumia mm kufeli....yaan watz hawana mbinu mbadala wa kuitoa ccm madarakani.

Kama wangekuwa waarabu ningesema lolote laweza kutokea kama ilivyokuwa Pakistan. Huyu katangaza kashinda na huyu anajitanfaza kashinda,huyu anaapishwa hapa huyu anaapishwa kule yani full ubabe. Lakini kwa watz mpaka 20100 labda
 
Huna jeuri hiyo,labda hapo nyuma ya keyboard yako tu lakini sio rod
Mwambieni babu yenu jiwe safari hii akileta figisu watu hao tunajaa road, kila mtu ashinde mechi zake bila figisu!
 
Pole sana,umezungumza kwa hisia kali sana ila kumbuka Lowasa anaijua CCM ndani kabisa hadi kwenye maini, alikua na ushawishi mkubwa sana ndani ya ccm na nje ya CCM alikusanya umati sana lakini aliishia wap?

Kipindi cha Lowasa ndio ilikua nafasi ya kuitoa ccm kwa sababu kula raia alikua ameichoka ccm kiasi kwamba hata ungeweka malaika pale ccm agombee watu wangemkataa tu.

Lisu yeye anaijua? Nachoshukuru kuwa unajua kabisa unapigana lakini hushindi hapo tuko pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…