Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo!?Lissu sio wa kusema hewala bwana. Na magu akitumia silaha za moto ICC na mabeberu wanakuja.
Lissu ameshindwa kiuhalali ndo mana kasepa mapema , Lissu kwenye sanduku kapigwa kabisa hakuna haja ya kusingizia kaibiwa kura , kuna wabunge wa upinzani wamefanyiwa figisu , japo nasikia mbowe naye kapigwa kiuhalali , ila Kwa Lissu ni total defeat....
Labda kama tunatengeneza kichaka cha kujifichia hapo sawaaa
Unamaanisha huyu huyu Lissu msafiri wa Belgium?Lissu sio wa kusema hewala bwana. Na magu akitumia silaha za moto ICC na mabeberu wanakuja.
Lissu alidhani ile hali ya kuzungumza na Balozi wa USA wakati ule akadhani wanamkubali. Hawa ni wana diplomasia na wanajua na kufahamu namna ya kudeal na watu kama akina Lissu. Kuongea naye wakati ule akadhani wako tayari kumkaribisha; alipokimbilia huko, ubalozi wa US wakamtolea nje, akaanza kuhaha ndipo akaishia huko alikoishia na hatimaye kuikimbia nchi. Halafu hili suala la kutishwa! Hivi katishiwa Maisha na nani? Kwa nini asilipoti Polisi au kwenye vyombo vingine vya usalama?Ingawa yeye, Lissu, anase,a haviamini! Hawa watu ni WAOGA SANA, wanapigiwa simu au kutumiwa ujumbe na "matapeli na waigizaji wenzao" wanaanza kukimbia nchi! Hii ni ajbau na kweli!halafu akawahimiza watu waingie barabarani alipoona wamempuuza akakimbilia ubalozini eti kuna mtu anamtishia nani ?kwalipi mpaka wamtishe yeye ni nani hala lolote mwishowake kaamua kuwakimbia na mngeingia barabarani mngepigwa mvunjwe miguu halafu mwenzenu anaondoka anawaacha na majeruhi
Wewe Mkaruka Mzee yawezekana kichwa chako ni kama mfuko wa kubebea meno tu. Sidhani kama akili yako inabidi ya mende.Lissu alidhani ile hali ya kuzungumza na Balozi wa USA wakati ule akadhani wanamkubali. Hawa ni wana diplomasia na wanajua na kufahamu namna ya kudeal na watu kama akina Lissu. Kuongea naye wakati ule akadhani wako tayari kumkaribisha; alipokimbilia huko, ubalozi wa US wakamtolea nje, akaanza kuhaha ndipo akaishia huko alikoishia na hatimaye kuikimbia nchi. Halafu hili suala la kutishwa! Hivi katishiwa Maisha na nani? Kwa nini asilipoti Polisi au kwenye vyombo vingine vya usalama?Ingawa yeye, Lissu, anase,a haviamini! Hawa watu ni WAOGA SANA, wanapigiwa simu au kutumiwa ujumbe na "matapeli na waigizaji wenzao" wanaanza kukimbia nchi! Hii ni ajbau na kweli!
Hayo ni mawazo yangu. Unaonaje hiyo sentensi yako ya kwanza hapo juu = NIKURUDISHIE WEWE "yaani kichwa chako ni kama mfuko wa kubebea meno tu ……". Wacha maneno ya kulinganisha nchi na nchi, huo ni utoto kwenye suala la policy analysis. Utoto tena wa chini sana! Zungumzia TZ yetu na ujenge hoja! Haya usemayo ni rhetorics za Lissu ambazo sasa unazileta wewe. Lete ushahidi, vinginevyo, wakifanya fujo watakutana na nguvu za dola, no more no less. Lissu knows this ndiyo maana KASEPA!Wewe Mkaruka Mzee yawezekana kichwa chako ni kama mfuko wa kubebea meno tu. Sidhani kama akili yako inabidi ya mende.
Yaani nimemchukukia Lissu kirahisi namna hiyo. Yaani uhuni wa NEC na TISS na Polisi hujauona wakati wakizuia mawakala wa UPINZANI?
Haya waliitisha maandamano; Je hujui kuwa viongozi wao walikamatwa usiku wa kuamkia maandamano?
Ulitaka wafanya nini wao baada ya kuwa rumande?
Ni kweli hakukuwa na uchaguzi na Watanzania wameridhika kuongozwa KIIMLA na DIKTETA wa CHATO. Sasa Lissu awasaidieje kama hamuwezi kukusaidia.
Ujinga huu uko Tanzania tu, hapo Malawi asingetgubutu
Uzuri mbowe ameshawajua nyie keyboard warriorsMwambieni babu yenu jiwe safari hii akileta figisu watu hao tunajaa road, kila mtu ashinde mechi zake bila figisu!
Uzuri mbowe ameshawajua nyie keyboard warriorsMwambieni babu yenu jiwe safari hii akileta figisu watu hao tunajaa road, kila mtu ashinde mechi zake bila figisu!
Nakucheki tu halafu nasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiLissu sio wa kusema hewala bwana. Na magu akitumia silaha za moto ICC na mabeberu wanakuja.
Usimjibu mpumbavu sawa na upambavu wake usije kuwa sawa naye.. (Mithali 26:4)Hayo ni mawazo yangu. Unaonaje hiyo sentensi yako ya kwanza hapo juu = NIKURUDISHIE WEWE "yaani kichwa chako ni kama mfuko wa kubebea meno tu ……". Wacha maneno ya kulinganisha nchi na nchi, huo ni utoto kwenye suala la policy analysis. Utoto tena wa chini sana! Zungumzia TZ yetu na ujenge hoja! Haya usemayo ni rhetorics za Lissu ambazo sasa unazileta wewe. Lete ushahidi, vinginevyo, wakifanya fujo watakutana na nguvu za dola, no more no less. Lissu knows this ndiyo maana KASEPA!
Mtaanza lini kukinukisha? Ahahahahahah!Tunakinukisha Kama takbiir tahrir square
Hongera sana kumbe uliwahi kuyafikiria haya mapema na kutoa ushauri. Upinzani sasa hivi wako kukimbilia nje tu; Lissu keshahamia Ubelgiji a,bako alikuwa na apartment na alivyokuja kwenya uchaguzi bado lease ya apartment ilikuwa active, kwa maana ya kuwa alikuwa anajua atarudi; Lema naye yuko Kenya lakini anataka kwenda huko nchi za ng'ambo, Zito naye ameanza kutafuta sababu za kuhamia ujerumani.Poleni wanasiasa wa pande zote.
Nimekaa naangalia matukio ya kisiasa yanayoendelea nchini kwanzia upinzani hadi chama tawala. Upande wa CCM hawana 🔥 sana sababu wanajua ushindi ni uhakika na lazima.
Upande wa upinzani wamejitoa ufahamu kabisa wamesahau mbinu CCM wanazotumia kushinda wamesahau kuwa bado tuko na tume ileile ya miaka yote hasa ya 2015. Ww mpizani unashindia wapi wakati matokeo hayatangazwi hata na radio za nje tena?.
Kwanini msijiandae kisaikolojia kama mkishindwa ni sawa tu? Nasikitika sana mtu kupoteza muda kwenye box la kura wakati mshindi anajualikana.
Haya tuseme Lissu kashashindwa wewe mpiga kura na mnazi wa upinzani utafanya nini? Mtanzania action ya kwanza ni kukimbia kwenye kicharazio cha simu yake na kuanza kulalamika mitandaoni basi,hakuna zaidi ya hapo. Anaejua mbinu ingine aitaje?
Mimi niliacha siasa toka 2015 toka Edo alivyoshindwa akawauza watu.
Hahhaah. Yaani kabisa ulikaa kutegemea wabongo wakinukishe kisa Halima Mdee kakosa ubunge?Mtaanza lini kukinukisha? Ahahahahahah!
Ila humu JF mshakinukisha sio? Ahahahahahahah! Nasikia Lissu akihojiwa VOA amewaponda sana kwa kumsifia na kumpamba sana kwenye mikutano yake na mtandaoni lakini alipowaambia muandamane akaishia yeye kukimbilia Ubeleji amesindikizwa na mabalozi wa nchi zingine badala ya ninyi! Ahahahahahh!Hahhaah. Yaani kabisa ulikaa kutegemea wabongo wakinukishe kisa Halima Mdee kakosa ubunge?
Wabongo mikwala mingiii.
Wewe ukitaka tukinukishe maisha yawe magumu. Bado maisha sio magumu. Ugali upo bado. Life likiwa gumu unga hakuna njaa siku tatu hata wewe sweet kidume unayetumia jina la kike utaingiza makalio bara barani tu. Kama moroko
Tundu kachukua hatua gani mkuu!! Eti Lissu siyo wa kusema hewala!!Lissu sio wa kusema hewala bwana. Na magu akitumia silaha za moto ICC na mabeberu wanakuja.
Lina mtaanza kujaa road?Mwambieni babu yenu jiwe safari hii akileta figisu watu hao tunajaa road, kila mtu ashinde mechi zake bila figisu!