Hivi Tundu Lissu kwa sasa anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato inayoweza kumfanya akisaidie hata Chama Kama ilivyo kwa Mwamba?

sasa hata wewe mwehu ndio wa kuhoji shughuri za lissu hivi hii dunia inaenda wapi yaani umevimbiwa kande zako na ulanzi unakuja kututolea ushuzi wako jf hapa tafuta choo ukakate gogo huko kenge weee
Jibu swali la na siyo kuleta porojo hapa.
 
dah,
huyo jamaa ni mzururaji, ombaomba na mpiga vizinga hatari mjini. Amepiga sana msosi kwa chairman wake Taifa, mpaka wakamchoka.

Ni mvivu mno anategemea donations za wadau tu, na ni mtu ni mzima wa afya ana nguvu na akili timamu but anajifanya hajiwezi ili achangiwe, tabia ambayo ni mbaya sana na ya kivivu na utegemezi....
 
Small minds always discuss people
 
Kwanza hajalipa ile mil 30 ya kila mjumbe wa kamati kuu kuchangia mkutano mkuu. Ukwasi shidaaa - njaaa kali

Kifupi CDM chini yake itakuwa tegemezi kwa Msigwa ambaye kasema wazi kwamba ataishauri CCM ishirikiane na Lissu.
 
Lissu ni ombaomba kama Marehemu Mzee Matonya.
 
MIMI JINA LA MWAMBA NDIO LIMENIFURAHISHA NAMNA MWABUKUSI ALIVYOHOJIWA AKATUMIA TAALUMA YAKE YA UWAKILI KUSEMA DR. SLAA KASHITAKIWA KWA KUWA AMESAMBAZA VIDEO YA "RAIS NA MWAMBA"!?????😀
 
Unauliza ya Tundu Lissu. Ya kwako je..?

Wewe unafanya kazi gani ili kuisaidia CCM iingize kipato..?

Kazi ya u - Chawa, au...?
 
Najua hadi sasa ulitamani kusikia kuwa ni Panya road.Ila ni binadamu msaada kwa mbongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…