Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #61
Kwanini wewe unakuwa na hasira badala ya kutaka tu shughuli anayoifanya kwa sasa?Wewe inakuhusu nini!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini wewe unakuwa na hasira badala ya kutaka tu shughuli anayoifanya kwa sasa?Wewe inakuhusu nini!?
Jibu swali la na siyo kuleta porojo hapa.sasa hata wewe mwehu ndio wa kuhoji shughuri za lissu hivi hii dunia inaenda wapi yaani umevimbiwa kande zako na ulanzi unakuja kututolea ushuzi wako jf hapa tafuta choo ukakate gogo huko kenge weee
Oyaaa😂🤣😆😁😅Anauza Vitabu UN
Hata Boss wako Yericko Nyerere ugomvi wake na Lisu ni Wivu wa kibiashara Maana Yeriko anawauzia Makaratasi yake Watindiga wa Makongorosi akina nyie 😂😂😂😂
dah,Ndugu zangu Watanzania,
Sitaki Mimatusi wala mikelele wala mimaneno mingi wala blaa blaa wala porojo wala Mihemuko wala ukurupukaji katika andiko hili ambalo lipo wazi kabisa .
Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini?
Maana kukaa bila shughuli ya kumuingiza kipato ni rahisi sana hata kununuliwa na mabeberu kwa mambo yaliyo kinyume na sheria za Nchi yetu.
Soma Pia: Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe
Swali lipo wazi na wala haihitaji maelezo marefu wala matusi.Kwa hiyo ningependa Wafuasi wa lissu mjibu swali hilo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Small minds always discuss peopleNdugu zangu Watanzania,

Jibu swali acha porojoSmall minds always discuss people
Lissu ni ombaomba kama Marehemu Mzee Matonya.Ndugu zangu Watanzania,
Sitaki Mimatusi wala mikelele wala mimaneno mingi wala blaa blaa wala porojo wala Mihemuko wala ukurupukaji katika andiko hili ambalo lipo wazi kabisa .
Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini?
Maana kukaa bila shughuli ya kumuingiza kipato ni rahisi sana hata kununuliwa na mabeberu kwa mambo yaliyo kinyume na sheria za Nchi yetu.
Soma Pia: Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe
Swali lipo wazi na wala haihitaji maelezo marefu wala matusi.Kwa hiyo ningependa Wafuasi wa lissu mjibu swali hilo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe ni mwanachadema?Kwanini wewe unakuwa na hasira badala ya kutaka tu shughuli anayoifanya kwa sasa?
Kwanini usijibu swali?Wewe ni mwanachadema?
Pilipili usiyoila yakuwashia nini?
Kwani Kuna shido!?Kwanini usijibu swali?
MIMI JINA LA MWAMBA NDIO LIMENIFURAHISHA NAMNA MWABUKUSI ALIVYOHOJIWA AKATUMIA TAALUMA YAKE YA UWAKILI KUSEMA DR. SLAA KASHITAKIWA KWA KUWA AMESAMBAZA VIDEO YA "RAIS NA MWAMBA"!?????😀Ndugu zangu Watanzania,
Sitaki Mimatusi wala mikelele wala mimaneno mingi wala blaa blaa wala porojo wala Mihemuko wala ukurupukaji katika andiko hili ambalo lipo wazi kabisa .
Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini?
Maana kukaa bila shughuli ya kumuingiza kipato ni rahisi sana hata kununuliwa na mabeberu kwa mambo yaliyo kinyume na sheria za Nchi yetu.
Soma Pia: Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe
Swali lipo wazi na wala haihitaji maelezo marefu wala matusi.Kwa hiyo ningependa Wafuasi wa lissu mjibu swali hilo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jibu swali acha kuruka ruka hapa.Kwani Kuna shido!?
Acha kutapatapa ndugu yangu
Hata CCM wenyewe hawawezi kuteaua watu Vilaza
Wanafanya shughuli nyingi sana zenye kuwaingizia kipato na ndio maana chama hakipati hata shida .maana wanachama wake wana kila kitu.Kwani wale viongozi wa ccm wanafanya kazi gani nje na siasa za chama?
NI shoga na hilo lipo waziAnza kwanza kutuambia shughuli unayofanya wewe. Maana masaa 24 uko humu jukwaani kusifia tu binadamu wenzako.
Unauliza ya Tundu Lissu. Ya kwako je..?Ndugu zangu Watanzania,
Sitaki Mimatusi wala mikelele wala mimaneno mingi wala blaa blaa wala porojo wala Mihemuko wala ukurupukaji katika andiko hili ambalo lipo wazi kabisa .
Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini?
Maana kukaa bila shughuli ya kumuingiza kipato ni rahisi sana hata kununuliwa na mabeberu kwa mambo yaliyo kinyume na sheria za Nchi yetu.
Soma Pia: Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe
Swali lipo wazi na wala haihitaji maelezo marefu wala matusi.Kwa hiyo ningependa Wafuasi wa lissu mjibu swali hilo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Najua hadi sasa ulitamani kusikia kuwa ni Panya road.Ila ni binadamu msaada kwa mbongoNdugu zangu Watanzania,
Sitaki Mimatusi wala mikelele wala mimaneno mingi wala blaa blaa wala porojo wala Mihemuko wala ukurupukaji katika andiko hili ambalo lipo wazi kabisa .
Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini?
Maana kukaa bila shughuli ya kumuingiza kipato ni rahisi sana hata kununuliwa na mabeberu kwa mambo yaliyo kinyume na sheria za Nchi yetu.
Soma Pia: Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe
Swali lipo wazi na wala haihitaji maelezo marefu wala matusi.Kwa hiyo ningependa Wafuasi wa lissu mjibu swali hilo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Anafanya shughuli gani?Najua hadi sasa ulitamani kusikia kuwa ni Panya road.Ila ni binadamu msaada kwa mbongo