Hivi Tundu Lissu kwa sasa anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato inayoweza kumfanya akisaidie hata Chama Kama ilivyo kwa Mwamba?

Wewe kabla ya kuwa CHAWA BWABWA ,PUNGA ulikuwa unafanya kazi Gani???
 
Kwanini umeshindwa kujibu swali? Kweli nimeamini uwezo na upeo wako ni mdogo sana
Una upeo mdogo sana wa kifikiri, kijana. Hilo swali unatakiwa umuulize mhusika mwenyewe. Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kupoteza muda wake kufuatilia maisha ya mtu mwingine.
 
"Imemchukua karibia miezi nane lissu kutafuta milioni 80 kwa ajili ya michango ya gari,lakini mbowe ndani ya dakika 0 alichangia chama milioni 250 fedha zake kutoka mfukoni" - Wenje
Wewe ndugu chawa ulichsngia shingi ngapi?
 
Kwakweli shuguli hana labda shughuli. af utani pm unpe cv yako upande wa elimu. af pia huyo ndiyo mwanasheria anaeweza ku deal na mafisadi wa Zanzibar na Tanganyika without lubricunts
 
Anauza Vitabu UN

Hata Boss wako Yericko Nyerere ugomvi wake na Lisu ni Wivu wa kibiashara Maana Yeriko anawauzia Makaratasi yake Watindiga wa Makongorosi akina nyie 😂😂😂😂
Huyu Yericko Kwa kweli mumemchoka na makalatasi yake - sijui atajistukia lini Mzee wa Alfa na Omega
 
Hilo biriani watu wanajipakulia tu.
 
Hakuna kizazi kinacho paswa kulindwa kwa nguvu zote kwa sasa kama kizazi Cha watoto wa kiume.

Mwanaume uliyekamili unapata wapi muda wa kuuliza shughuli za kumuingizia kipato mwanaume mwingine ?

Bure kabisa LM
 
Kwakweli shuguli hana labda shughuli. af utani pm unpe cv yako upande wa elimu. af pia huyo ndiyo mwanasheria anaeweza ku deal na mafisadi wa Zanzibar na Tanganyika without lubricunts
Maelezo marefu halafu umeshindwa kujibu swali.
 
Hivi viongozi wa ccm, waliopita na aliyepo, walikuwa na/ana kazi gani iliyowapatia/inayompatia kipato kilchowawezesha/kinachomwezesha kukisaidia chama, hivyo kufanya kuwa vigumu kwao/ kwake kununuliwa na mabeberu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…