Hivi tungekodi kampuni ya Uingereza kuchunguza makinikia tungejua tulichojua?

Hivi tungekodi kampuni ya Uingereza kuchunguza makinikia tungejua tulichojua?

Kwanza huna taarifa sahihi, kwa sababu wangesema mchanga yasingeitwa tena makinikia!! Tafuta Ripoti ya TMAA ya 2011, na kama huwezi kufanya hivyo basi soma thread yangu inayosema Ripoti ya Kitalaamu Kuhusu Uchenjuaji wa Mchanga wa Madini, ambapo moja ya paragraph inasema:-

Unaona hapo, ni COPPER CONCENTRATE na hakuna popote taarifa inaposema ni MCHANGA!

Mwiba zaidi, Ripoti ikasema:-

Kwamba, madini yanayopatikana kwenye makinikia hayatoshelezi kutufanya tujenge mtambu wa kuchambua hayo makinikia hapa hapa!!

Watu wakatoa povu ile mbaya, wengine wakatukana lakini kila mwenye akili timamu anafahamu JPM HAKUZUNGUMZIA TENA suala la kujenga Copper Concerates smelters, na HADI KESHO MAKINIKIA YANASAFIRISHWA!!

So, suala la JPM kuajiri wataalamu kutoka nje, mosi lisingekuwa na mantiki kwa sababu sekta ya madini sio ngeni kwetu na kwahiyo tunao hao watalaamu! Lakini kama angeamua kufanya hivyo, Wataalamu hao wangetuepusha na aibu ya kusema tunadai Sh 420 trillion na matokeo yake tunaishia kupata vibilioni kadhaa!!!

Siwezi kurudia kwa sababu HatibuZ amekuonesha tenda ilitangazwa lini! In short, hata JPM Administartion ilifahamu hatuna watu wenye uzoefu kwenye sekta ya gesi na mafuta! Hili jambo lipo wazi sana, hivyo nashangaa kwanini watu tunataka kuleta uzalendo fake wakati we all know hii sekta ni mpya!!

Kama hujawahi kuwa na commercial oil and gas industry from engineering level, hivi mnatarajia hao wataalamu wa Kitanzania hiyo kazi walikuwa wanafanyia?!

Hapo tena jaribu kutafuta taarifa uone huo mradi kwanza sponsor ni nani, na umeanza wakati gani!

Tafuteni taarifa, na mjifunze!!
Unapoteza nguvu na wakati bure. Aliyetuaminisha ni mchanga ni nani kama sio hao acacia wakiungwa mkono na washirika wao serikalini.
Magufuli alichofanya ni kuweza kuweka wazi kilichokua ndani ya huo uliyoitwa mchanga na hao wezi.
 
kmbwembwe soma contributors wote humu utaelimika na kuondokana na uelewa potofu uliokuwa nao kabla. Watu wanakupa takwimu lakini wewe umeng'ang'ania kwenye uwongo wa Mwendazake
 
Hujui tu, jiwe kachakachua vitu vingi saaana. Nasema hujui kitu na hakika mtaji wa Jiwe ni watanzania wajinga walio wengi. Hivi inakuingia akilini kampuni ikwepe kodi ya TZS Trillion 450 halafu ulipwe million 300; na ambayo nayo isilipwe.
Wewe ndio mjing kama huelewi kwa nini kampuni ya wezi isiweze oneshwa tangu miaka 20 na zaidi imedhulumu kiasi gani kodi hadi kiasi hakilipiki.
 
kmbwembwe soma contributors wote humu utaelimika na kuondokana na uelewa potofu uliokuwa nao kabla. Watu wanakupa takwimu lakini wewe umeng'ang'ania kwenye uwongo wa Mwendazake
Mimi nimeng'anga'ania kwenye ukweli wa mwenda zake. Namwamini kiitikadi kwangu ni comrade.
Hebu nikuulize. Magufuli aliposema itawezekana lami toka mwanza hadi mtwara hapakua waliyosema anaongopa? Je ilitokea haikutokea tena bado akiwa waziri tu wa miundombinu sio rais? Anyway ni suala la mtazamo.
Nyie mnaoamini consultants wa kingereza na ulaya ndio wanajua hicho wanacholipwa hakika ni unyonyaji tu.
 
Ujinga wetu waafrika ni kudhani kila tatizo letu basi chanzo ni mzungu na pale inapotokea Kati yetu mtu kuja na wazo tofauti huonwa kama wakala wa mabeberu mleta mada ana majibu yake na upande wake tayali hata akipewa takwimu atapinga tu.
 
Unapoteza nguvu na wakati bure. Aliyetuaminisha ni mchanga ni nani kama sio hao acacia wakiungwa mkono na washirika wao serikalini.
Magufuli alichofanya ni kuweza kuweka wazi kilichokua ndani ya huo uliyoitwa mchanga na hao wezi.
Kwahiyo copper concentrates ni mchanga, sio?! Au hiyo ripoti imeandikwa wakati wa Magufuli?!

Unajua watu aina yako ni majanga sana kwa taifa kwa sababu ni wavivu wa kusoma!! Nimekuwekea hapo ripoti, SOMA!! Kabla hujapatikana msamiati wa makinikia jina lilokuwa linatumika ni MCHANGA WA DHAHABU na sio MCHANGA!!
 
Mimi nimeng'anga'ania kwenye ukweli wa mwenda zake. Namwamini kiitikadi kwangu ni comrade.
Hebu nikuulize. Magufuli aliposema itawezekana lami toka mwanza hadi mtwara hapakua waliyosema anaongopa? Je ilitokea haikutokea tena bado akiwa waziri tu wa miundombinu sio rais? Anyway ni suala la mtazamo.
Nyie mnaoamini consultants wa kingereza na ulaya ndio wanajua hicho wanacholipwa hakika ni unyonyaji tu.
Wabongo wana kasumba za kifala kweli😂tumerudishwa zama za kuamini mzungu ana akili kuliko sisi! Wewe unataka ulindiwe rasilimali halafu unaomba consultancy kwa mwizi😅 hizi ndio akili za makamba yani mwizi aje akufungie system ya usalama ndani mwako kisha utegemee utabaki salama.
 
Yani we bado upo gizani, ile report ya makinikia ilikuwa ni blahblah za awamu danganyifu iliyopita. Hakuna la maana baada ya pale na makinikia yanatoka kama kawaida tangu mwendazake akiwepo ni kiini macho, ni upupu mtupu hakuna cha nini wala nini.
Ndugu zangu Watanzania, kuna watu bado hawajui au hawaamini kama ukoloni na ubeberu ni matokeo ya hila kubwa ya nchi za magharibi na raia wao ikiwepo marekani. Kuna ushirika mkubwa kati ya nchi za kibeberu na makampuni mbalimbali ya nchi hizo linapokuja suala la kuendelea kumiliki uchumi wa nchi changa hasa za afrika.

Hivi niwaulize swali. Kama hayati Magufuli asingetuongoza kujiamini wenyewe tukakodi kampuni ya kingereza kufanyia uchunguzi yale makinikia acacia wakiita mchanga tungejua kile kilichokua ndani yake?

Januari Makamba ni mtu hawezi kufikiri kwa akili yake hadi akodishe mzungu kwa hela ya umma kufikiri kwa ajili yake. Sijui nini anapata kwa kuwaamini sana wageni hasa wazungu. Tabia kama hiyo ndio analeta kwenye uongozi wa mashirika nyeti chini ya wizara yake. Tangu amewekwa waziri wa nishati tumeona akisaini kandarasi na wageni kusimamia mambo yetu ya uchumi. Kandaradi moja baada ya nyingine.

Tumeona ikiletwa kampuni ya kihindi kukodisha mfumo wa electronic wa usimamizi tanesco kwa dola milioni 30. Je hakuna watanzania wanaweza kubuni mfumo kwa shughuli kama hiyo. Je hao wahindi walishindanishwa na kamuni zipi?

Juzi tena hapa tumeona mkataba na kampuni ya kingereza eti kushauri tpdc mambo ya kisheria kuhusu uwekezaji. Hizo kampuni zinafuata templates za kinyonyaji tu sisi kubwaga resources zetu kwa wawekezaji. Tumeona timu yetu ya wazalendo ya kina kabudi ikiweka namna mpya ya mikataba kwenye madini hadi nchi nyingi za kiafrika ziki copy na ku paste mikataba yetu. Ukiuliza kama hiyo kampuni ya kingereza imepewaje hiyo kazi huwezi ona kama wameshindanishwaje.

Hawa mareactionaries wapinga maendeleo mama anawarudisha ndio wataturudisha nyuma kwa maendeleo. Wao wanatafuta maendeleo yao binafsi hivyo watatumika na maadui wa maendeleo ya umma.
 
Mimi nimeng'anga'ania kwenye ukweli wa mwenda zake. Namwamini kiitikadi kwangu ni comrade.
Hebu nikuulize. Magufuli aliposema itawezekana lami toka mwanza hadi mtwara hapakua waliyosema anaongopa? Je ilitokea haikutokea tena bado akiwa waziri tu wa miundombinu sio rais? Anyway ni suala la mtazamo.
Nyie mnaoamini consultants wa kingereza na ulaya ndio wanajua hicho wanacholipwa hakika ni unyonyaji tu.
Stuxnet, hawa ndo wafuasi wa JPM!!
 
Wabongo wana kasumba za kifala kweli😂tumerudishwa zama za kuamini mzungu ana akili kuliko sisi! Wewe unataka ulindiwe rasilimali halafu unaomba consultancy kwa mwizi😅 hizi ndio akili za makamba yani mwizi aje akufungie system ya usalama ndani mwako kisha utegemee utabaki salama.
Extrovert,

Let's assume serikali inakuambia pendekeza ONE LAW FIRM in Tanzania wenye uzoefu na consultancy kwenye field ya mafuta na gesi... je, utapendekeza kampuni ipi ili tuchunguze profile zao?!

Kama sio law firm, unaweza kunitajia MTANZANIA mmoja TU mwenye hizo sifa ili nae tufuatilie CV yake?!
 
Mbona kwenye kashfa ya Tegeta Escrow kampuni ya kiingereza ya SFO iliibua madudu? Mbona PwC/E &Y ilichunguza kashfa ya Richmond na kuibua madudu. In fact madini yetu huwa yanakaguliwa na kampuni za nje maana kwenye biashara za kimataifa lazma uwe na global recognized firms kusimamia soko kma SGS. Nani ataamini ripoti ya Mruma ilihali hata maabara kubwa za kijiolojia hatuna? Na ndio maana hata kesi za kibiashara zinaenda ICSID ili kuwepo na neutrality otherwise kila nchi ingevutia kwake mashauri hayo.
Na mbaya zaidi, ulikuwa ni ukaguzi wa upande mmoja... eti mnaikagua Acacia lakini Inspection Team YOTE inatoka serikalini na Acacia hawakuruhusiwa kutia pua!!

Sasa sijui ni nani angeamini ripoti ya aina hiyo zaidi ya misukule wake!! Matokeo yake ndo yale, ripoti inasema tunadai Sh 420 Trillion wakati tulichoambulia hakifiki hata 0.5% ya hizo 420 Trillion!
 
Kwa uandishi wako na mpangilio wa sentensi nahisi Elimu yako siyo zaidi ya Form 4.

Kwa kifupi ripoti ya MAKINIKIA ilikuwa rubbish yaani takataka.

Baada ya kuwa Rais alitaka ku-prove kuwa ACACIA wanatuibia madini kupitia makinikia, ndipo akaunda tume ya Prof Mruma na Prof Osoro. Kiukweli Tume ya Prof Mruma ilikuta kuwa kontaina la 20ft lina 0.7Kg ya madini ya dhahabu na silver. Na kiasi hicho ndiyo kimekuwa kikilipiwa na ACACIA/ Barrick kodi sahihi kuanzia 1998.

Kwa vile Jiwe alidhani tunaibiwa madini wakati si kweli akaichakachua ripoti ya Prof Mruma na kuandika kuwa kuna 7.0 Kg kwa kila container. Hapa ndiyo ile hoja ya ACACIA kukwepa ushuru wa USD 190 bilioni au Tsh 450 Trillioni ndipo ilipojitokeza. Hiki kitu Tundu Lissu aliita professorial rubbish kwa kuwa ni uzandiki mtupu. Na kweli hatujapata hiyo Tsh 450 Trilion aka Noah moja kwa kila Mtanzania.

Ila Tanzania Ina wajinga wengi sana kama kmbwembwe wao bado wanaamini uwongo wa Magufuli
eti akachakachua, sasa kwanini hawakwenda mahakamani kama walivyodai??

na ulivyo kolo sasa eti ni 0.7 hivi wewe kontena unalijua au unaongea ushubwada
hivi kwa akili tu ya kawaida tu hata ile ya kuvukia barabara ni mwekezaji ambae atarisk kusafirisha kontena ili achenjue 0.7 ya dhahabu na silver???? lazima kutakuwa na shida mahali kwenye fikra zako
 
Magufuli alikuwa anajuwa kiwango cha ujinga wa Watanzania walio wengi na ndiyo ukawa mtaji wake kwa propaganda za UWONGO. Ametuachia population ya wajinga wengi sana kama huyu kmbwembwe, wanapinga kila anachofanya Rais Samia na Makamba. Wajinga wanaamini eti hii mikataba Januari Makamba amepiga simu hizo kampuni ikaja. Kumbe mchakato umeanza mwaka 2018
Magufuli hatabaki kuwa Magufuli pamoja na uongo wake au ufisadi wake au chchote kile alichokifanya vibaya.

Lakini kamwe hatokuja tokea kiongozi au Rais mwenye msimamo kama Magufuli. He was the best president. Hayupo, hatukonae tena, he has gone wacha apumzike kwa amani.

Magu alikemea madudu waziwazi, Magu alipenda nchi yake, Magu alikuwa mzalendo wa kweli kweli, Magu alikuwa Rais wa tofauti na watangulizi wake. Hakuna atakae mfikia kwa uongozi wake.
 
Kwa uandishi wako na mpangilio wa sentensi nahisi Elimu yako siyo zaidi ya Form 4.

Kwa kifupi ripoti ya MAKINIKIA ilikuwa rubbish yaani takataka.

Baada ya kuwa Rais alitaka ku-prove kuwa ACACIA wanatuibia madini kupitia makinikia, ndipo akaunda tume ya Prof Mruma na Prof Osoro. Kiukweli Tume ya Prof Mruma ilikuta kuwa kontaina la 20ft lina 0.7Kg ya madini ya dhahabu na silver. Na kiasi hicho ndiyo kimekuwa kikilipiwa na ACACIA/ Barrick kodi sahihi kuanzia 1998.

Kwa vile Jiwe alidhani tunaibiwa madini wakati si kweli akaichakachua ripoti ya Prof Mruma na kuandika kuwa kuna 7.0 Kg kwa kila container. Hapa ndiyo ile hoja ya ACACIA kukwepa ushuru wa USD 190 bilioni au Tsh 450 Trillioni ndipo ilipojitokeza. Hiki kitu Tundu Lissu aliita professorial rubbish kwa kuwa ni uzandiki mtupu. Na kweli hatujapata hiyo Tsh 450 Trilion aka Noah moja kwa kila Mtanzania.

Ila Tanzania Ina wajinga wengi sana kama kmbwembwe wao bado wanaamini uwongo wa Magufuli
Mkuu kama upo serikali au taasisi yoyote ya serikali basi kula kulingana na urefu wa kamba yako. Huu ndiyo msemo wa sasa.

Usifikiri watanzania ni wajinga kama wewe. Watanzania wa Sasa ni waelewa kuliko hata ninyi mnaojiita viongozi. Hakuna mtanzania asiyejua kuwa nchi hii ni shamba la babi. Hakuna mtanzania asiyejua kuwa nchi hii wachache wenye roho za kifisadi ndiyo wanaofaidi.
Hakuna mtanzania asiyejua kuwa nchi hii kila kiongozi alioko madarakani wanajilimbikizia Mali kutoka kwa watanzania maskini wanaotafuta pesa zao ki halali.

Kwahiyo, wewe kama mfuasi wa waziri mwenye dhamana na upo kwa ajili ya kumtetea aina shida. Wewe endelea kumtetea ili uweze kuingia chooni na kutoka.

Tuache sisi ambao tunawatafutia na kuchukua kirahisi kwetu. Hapa najua huwezi kuelewa kwasababu upo kwa ajili ya kutetea mafisadi wa nchi hii.
 
Ametuachia population ya wajinga wengi sana kama huyu @kmbwembwe, wanapinga kila anachofanya Rais Samia na Makamba.
Hawa ndiyo wanaoitwa wazalendo. Nchi ikipewa wazalendo waongoze tutakuwa taifa la wapumbavu.

Afadhali tuongozwe na mafisadi. Angalau enzi za mafisadi hela tunaiona tofauti na enzi za wazalendo.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Magu alikemea madudu waziwazi, Magu alipenda nchi yake, Magu alikuwa mzalendo wa kweli kweli, Magu alikuwa Rais wa tofauti na watangulizi wake. Hakuna atakae mfikia kwa uongozi wake.
Na tuzidi kumwombea apumzike na kamwe tusipate Rais mwingine anayefanana na huyu mzalendo Magu"fool".
 
hiyo inaitwa Consultancy firm...tena ni international... nionyeshe consultancy firm ya oil and gas iliyopo Tanzania ambayo ishawahi kufanya kazi hata Malawi..

Huo sio mkataba wa kuuza na kununua vitumbua, huo ni mkataba unaozungumzia trilioni of money na wadau kutoka kila Pembe ya dunia ambao wameweka hela yao na mwisho wa siku wanahitaji return na faida within the time limit....

Labda tuache kila kitu mpaka siku tukipata akili au tukubali kuliwa kidogo kwa kuweka uzalendo mbele na kushirikisha wadau wa dunia wenye uelewa wa mabiashara haya ya kimafia miaka nenda rudi.... Dunia ya sasa na mabiashara ya sasa kuliwa lazima uliwe au vinginevyo uache kila kitu ili usiliwe....
 
Mimi nimeng'anga'ania kwenye ukweli wa mwenda zake. Namwamini kiitikadi kwangu ni comrade.
Hebu nikuulize. Magufuli aliposema itawezekana lami toka mwanza hadi mtwara hapakua waliyosema anaongopa? Je ilitokea haikutokea tena bado akiwa waziri tu wa miundombinu sio rais? Anyway ni suala la mtazamo.
Nyie mnaoamini consultants wa kingereza na ulaya ndio wanajua hicho wanacholipwa hakika ni unyonyaji tu.
Mpaka anafuatwa consultancy kutoka Ulaya ujue uzoefu wa hawa wa ndani ni mbaya. Hawana ushindani unaotakiwa kuweza kupewa kazi (competence), naamini wizara mpaka kuwafuata hao waingereza watakuwa wamejiridhisha vya kutosha.

Kumbuka katika team ya wizara kuna mtu kama Mataragio huyu ni mtaalam wa haya masuala aliyewahi kufanya kazi USA.
 
eti akachakachua, sasa kwanini hawakwenda mahakamani kama walivyodai??

na ulivyo kolo sasa eti ni 0.7 hivi wewe kontena unalijua au unaongea ushubwada
hivi kwa akili tu ya kawaida tu hata ile ya kuvukia barabara ni mwekezaji ambae atarisk kusafirisha kontena ili achenjue 0.7 ya dhahabu na silver???? lazima kutakuwa na shida mahali
Jibu swali very simple; Je tulilipwa zile USD 190 Billion zinazotokea kwenye ukokotozi wa ripoti ya PROF Mruma ya Kg 7 per container?

Kama hatukulipwa basi mjinga ni Magufuli, wewe Just Distinctions na wenzenu wengine ambao mnaamini kulikuwa kg 7 za dhahabu

Unajiita Just Distinctions halafu huwezi ku grasp simple maths and logic?? Au ndiyo wa vyeti feki
 
Back
Top Bottom