Kwanza huna taarifa sahihi, kwa sababu wangesema mchanga yasingeitwa tena makinikia!! Tafuta Ripoti ya TMAA ya 2011, na kama huwezi kufanya hivyo basi soma thread yangu inayosema
Ripoti ya Kitalaamu Kuhusu Uchenjuaji wa Mchanga wa Madini, ambapo moja ya paragraph inasema:-
Unaona hapo, ni COPPER CONCENTRATE na hakuna popote taarifa inaposema ni MCHANGA!
Mwiba zaidi, Ripoti ikasema:-
Kwamba, madini yanayopatikana kwenye makinikia hayatoshelezi kutufanya tujenge mtambu wa kuchambua hayo makinikia hapa hapa!!
Watu wakatoa povu ile mbaya, wengine wakatukana lakini kila mwenye akili timamu anafahamu JPM HAKUZUNGUMZIA TENA suala la kujenga Copper Concerates smelters, na HADI KESHO MAKINIKIA YANASAFIRISHWA!!
So, suala la JPM kuajiri wataalamu kutoka nje, mosi lisingekuwa na mantiki kwa sababu sekta ya madini sio ngeni kwetu na kwahiyo tunao hao watalaamu! Lakini kama angeamua kufanya hivyo, Wataalamu hao wangetuepusha na aibu ya kusema tunadai Sh 420 trillion na matokeo yake tunaishia kupata vibilioni kadhaa!!!
Siwezi kurudia kwa sababu
HatibuZ amekuonesha tenda ilitangazwa lini! In short, hata JPM Administartion ilifahamu hatuna watu wenye uzoefu kwenye sekta ya gesi na mafuta! Hili jambo lipo wazi sana, hivyo nashangaa kwanini watu tunataka kuleta uzalendo fake wakati we all know hii sekta ni mpya!!
Kama hujawahi kuwa na commercial oil and gas industry from engineering level, hivi mnatarajia hao wataalamu wa Kitanzania hiyo kazi walikuwa wanafanyia?!
Hapo tena jaribu kutafuta taarifa uone huo mradi kwanza sponsor ni nani, na umeanza wakati gani!
Tafuteni taarifa, na mjifunze!!