Hivi tutawapoteza watu wetu wa karibu mpaka lini kisa Pesa.!?

Shukrani Ushindi victory nitajifunza hilo..!!
 
Bora umuambie uwezo wa kumpa huna na uishie hapo, hujafanya vyema kumpa ahadi hewa, japo naamini ungempa pia ungezungushwa mpaka ujute.!
 
Shida iko wapi? Si utafute zako...

Mimi mtu akianza tu habar za mizinga urafiki au undugu lazima upungue kama sio kuisha, hivi hatuwezi kuwasiliana tu pasipo kuhusisha pesa?
Mpendwa, una hakika umeelewa kile kimemaanishwa hapa.??
 
Huwa najisemea wenyewe kwamba acha aone nimemnyima lakini najua nilichoepuka.maana mtu anajua fika hawezi kukulipa ela anayokukopa lakini ataongea kiswahili weeeh...mpaka unampa, akishapokea hio ela ndio utajua hujui .
tunalazimishana kuwa na roho mbaya, maana unaona kuliko kuja kusumbuana mbeleni bora jibu liwe tu hapana.!!
 
Pole mahondaw ila nimecheka huko mbele ulivyomuwahi pia..!
 
Pole sana Top leader Mungu atakulipia tu usijali..!!
 
Kuna ex wangu wangu

Eti ameninunia Lisa sijamchangia mchango wa harusi take

Chakushangaza yy hakufanya send off,ila alitaka nimchangie kwenye harusi ambayo mm haiijihusu

Jua bado nakupenda Maria but hukunifanyia fair
Haha,
Wewe bado una maumivu ya kuachwa, pole sana mtena..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…