Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Urafiki wa kinafiki by the way huo Urafiki wao sasa hivi haupo tena,na chanzo cha Iraq na Saudia kutokuwa marafiki ni huyo huyo USAHakuna uadui...... US na Saudia ni marafiki kuliko Iraq na Saudia
Kwani ww una uhakika gani hao mitume walitoka huko East??Taja mtume mmoja alietoka Nchi za Magharibi
Taja mtume alietoka Italy au nchi za magharibi?Kwani ww una uhakika gani hao mitume walitoka huko East??
Pana waarabu wengi tu Wakristo , wapagani na wasio na diniUislam ni uarabu na Uarabu ni Uislam huwezi kuvitenganisha ukimsema muarabu unaonekana mbaguzi wa kiimani
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Shida sio dini Wala race yao bali ni rasilimali walizonazo? Ni kwanini Sasa kila mtu huwa anataka kuhusisha dini na huu mgogoro?Issue sio Uislm but ni Uaarabu na resources zilizo katika hizo Nchi Indonesia & Malaysia hazina resources zozote za maana kama zilivyo Nchi za kiarabu.
Turkey kinacho msaidia ni geographical position yake dhidi ya adui wa USA & West countries ambaye ni Russia.Turkey inatumika kimkakati kuua nguvu za Russia kimkakati.
Hana uadui na uislam. Hujui wewe?USA Hana uadui na uislam Bali makundi ya magaidi wahuni waliojifichia kwenye dini ya uislam baada ya kuwabrainwash waislamu wasio na elimu ya dini kwamba wanapigania dini kumbe wanapigania maslai ya dunia kupitia dini.
Iraq na Libya ni waislamu Kama sirya na palestina je ni kwanini isiwe vita ya waarabu na wa USA Ila inakua ni waislamu na USA?Iraq ni nchi za magharibi sawa na Libya. Masjid Aqswa ni msikiti wetu wa 3 waislam
Huwezi tenganisha uarabu na uislamuHawa jamaa ni wajanja sana kwa kuhamisha magoli..... hapa Tz tumewambia. Mkataba Wa DPW sio mzuri hauna manufaa kwa Taifa na tukawapa na vielelezo muhimu.
Hatukukataa Mkataba bali tukaomba Marekebisho.
Walichokuja kusema kiliushangaza ulimwengu.
Eti hatutaki Uislam na awaarabu.
Sasa unajiuliza kwani DPW walitaka kuja kuwekeza kwenye Misikiti au kwenye Bandari.
Hapa ndio tukashtuka kwamba Dpw hawawekezi kwenye bandari kama IGA ilivyotaka kutudanganya
Na bandari je?Huwezi tenganisha uarabu na uislamu
Kweli kabisaUchumi na miradi ya waarabu maendeleo ya waarabu yameletwa na USA kusema anawachukia waislamu huo ni uongo.
We unaonajeNa bandari je?
Zile falme zao ndio zinawakoroga waarabu ili ziendelee kuneemeka na utajiri wa Middle East.Hiyo ni principle ya kiuongozi ukitaka kuendelea kutawala vizuri,basi hakikisha watu wanavurugana.Uongozi wwte hata level ya Serikali ya kijiji haupatikani kwa kupewa but you have to fight for it na baada ya kupata lazima ukunufaishe,same applies to USA kama Taifa-huwezi kuwaacha waarabu wenye resources muhimu waaungane it is dangerous
Hata sasa hivi iko hivyo. Eti Marekani imeleta utandawaziIko siku kuna mtu mke wake atachepuka na jirani lawama atapewa Mmarekani.
Si KWELI HAYA MANENO ...USA Hana uadui na uislam Bali makundi ya magaidi wahuni waliojifichia kwenye dini ya uislam baada ya kuwabrainwash waislamu wasio na elimu ya dini kwamba wanapigania dini kumbe wanapigania maslai ya dunia kupitia dini.
ha ha haaaa wee ni msenge sanaUislam ni janga la Dunia kama majanga mengine mfano tetemeko, ukimwi , COVID 20 etc