Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Sijawahi kukutana na ndoa ya watu ambao ni mabinamu lakini ikitokea mabinamu wameona ina maana shangazi na mjomba watabaki na titles zao au wanakuwa mama mkwe na baba mkwe?

Nb: Haishauriwi kisayansi binamu kuoana ili kuepuka kurithisha watoto changamoto kubwa za kijenitiki.
 
Umesahau na swali jingine:
Huyo uliyemwoa utaendelea kumwita binamu, au utamwita mkeo?
Waarabu nadhani watakuwa na majibu ya uhakika, maana wao kumwoa binamu ni jambo la kawaida.
 
Back
Top Bottom