mlevi sugu
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,981
- 3,875
Ndoa za binamu sijaziona ila ndoa za wanaukoo nmeziona
Hii michezo ya wapikistan. Wangekuwepo humu wangekupa ushuhudaSijawahi kukutana na ndoa ya watu ambao ni mabinamu lakini ikitokea mabinamu wameona ina maana shangazi na mjomba watabaki na titles zao au wanakuwa mama mkwe na baba mkwe?
Nb: Haishauriwi kisayansi binamu kuoana ili kuepuka kurithisha watoto changamoto kubwa za kijenitiki.
Misuguano tu sio kitu kingine mpaka ulie na kuomba maji au utaomba nini uji?Duhh ili iweje sasa?😬
Ila ndoa baina ya wanaukoo nimeiona mkuuSijawahi kukutana na ndoa ya watu ambao ni mabinamu lakini ikitokea mabinamu wameona ina maana shangazi na mjomba watabaki na titles zao au wanakuwa mama mkwe na baba mkwe?
Nb: Haishauriwi kisayansi binamu kuoana ili kuepuka kurithisha watoto changamoto kubwa za kijenitiki.
Wanaume wameisha huko Mitaani?Misuguano tu sio kitu kingine mpaka ulie na kuomba maji au utaomba nini uji?
Uchagan hizo ndoa zimejaa kibao ila uhusiano kidam n mbal kidogo.Watu wanaoana ndani ya ukoo mmoja??
Aisee ni kweli, hata kwetu upande wa Mama kulikuwa na warembo wengi yaani ni vigumu kujizuia....Ila binamu upande wa baba hapo napaheshimu ila upande wa mama napita nao vibaya ila kuwaoa no
Kumbe wewe sio babu yangu! Mama yangu tu kakuzidi umri.Kwa mara ya kwanza kabisa mwanamke niliyepita naye alikuwa ni binamu yangu. Mtoto wa mjomba! Akitoka mama yangu, anakuja baba yake. Ilikuwa ni mwaka 1985 kupitia mchezo wa kombolela.
Kwa sasa wote tuna watoto na wajukuu. Na hatujawahi kuombana radhi, wala kuulizana hivi ilikuwaje kuwaje ile jioni ya saa moja baada ya vijana wengine kutawanyika, sisi mabinamu tukakimbilia nyuma ya nyumba yao na kufanya matusi.
ephen_ babu yako nimetimiza miaka 41 tangu nilipoanza fujo. Na hadi leo wembe ni ule ule 👉👩❤️👨
Nyinyi mlicheza kombolea mkiwa bado ni watoto. Sisi tulicheza ile ya watu wazima. Yaani mkimaliza ile jioni lolote linaweza kutokea 😀Kumbe wewe sio babu yangu! Mama yangu tu kakuzidi umri.
Kombolela nimecheza sana🙈
Kwahiyo ulifaidi?Nyinyi mlicheza kombolea mkiwa bado ni watoto. Sisi tulicheza ile ya watu wazima. Yaani mkimaliza ile jioni lolote linaweza kutokea 😀
Hata sikumbuki. Ilikuwa ni zamani sana 😀Kwahiyo ulifaidi?