Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

AIseeeeeee hapo kwa kweli sijui nawaachia kobaz
Kwamba wagalatia mnaowaabudu hawaoani binamu?
Fuatilia wa Irish na ni ambao wakristo konki ulaya
Na wanaoana binamu

1780872333001.png
 
Sijawahi kukutana na ndoa ya watu ambao ni mabinamu lakini ikitokea mabinamu wameona ina maana shangazi na mjomba watabaki na titles zao au wanakuwa mama mkwe na baba mkwe?

Nb: Haishauriwi kisayansi binamu kuoana ili kuepuka kurithisha watoto changamoto kubwa za kijenitiki.
Kuoa binamu ni upumbavu!
 
Unachanganyikiwa na kitu kidogo namna hii, sasa jirani yangu alizaa na mtoto wa kufikia wa mke wake. Mke wake atakuwa nani, maana mtoto wake ni mjukuu wake!
 
Anakuwa Shangazi mkwe,ilikuwa zamani saiz imepungua sana kwa sababu ilichangia kuvuruga mahusiano ya kindugu hasa ndoa inapovunjika
 
Sijawahi kukutana na ndoa ya watu ambao ni mabinamu lakini ikitokea mabinamu wameona ina maana shangazi na mjomba watabaki na titles zao au wanakuwa mama mkwe na baba mkwe?

Nb: Haishauriwi kisayansi binamu kuoana ili kuepuka kurithisha watoto changamoto kubwa za kijenitiki.
Shangazi undugu haufi
 
anakuwa mkwe
 
Tiwaulize Waarabu wenye mila hizo.
 
Back
Top Bottom