Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

Hii michezo ya wapikistan. Wangekuwepo humu wangekupa ushuhuda
 
Ila ndoa baina ya wanaukoo nimeiona mkuu
 
Mlishasema ndugu wa wazazi wetu sio ndugu zetu bado hamjafikisha taarifa
 
Ila binamu upande wa baba hapo napaheshimu ila upande wa mama napita nao vibaya ila kuwaoa no
Aisee ni kweli, hata kwetu upande wa Mama kulikuwa na warembo wengi yaani ni vigumu kujizuia....
Mama alikuwa na dada zake sita na kaka zake wanne, yaani acha kulikuwa vyuma vya kutosha...
 
Kwa mara ya kwanza kabisa mwanamke niliyepita naye alikuwa ni binamu yangu. Mtoto wa mjomba! Akitoka mama yangu, anakuja baba yake. Ilikuwa ni mwaka 1985 kupitia mchezo wa kombolela.

Kwa sasa wote tuna watoto na wajukuu. Na hatujawahi kuombana radhi, wala kuulizana hivi ilikuwaje kuwaje ile jioni ya saa moja baada ya vijana wengine kutawanyika, sisi mabinamu tukakimbilia nyuma ya nyumba yao na kufanya matusi.
ephen_ babu yako nimetimiza miaka 41 tangu nilipoanza fujo. Na hadi leo wembe ni ule ule πŸ‘‰πŸ‘©β€β€οΈβ€πŸ‘¨
 
Kumbe wewe sio babu yangu! Mama yangu tu kakuzidi umri.
Kombolela nimecheza sanaπŸ™ˆ
 
Acha hizo kisayansi kivipi sasa? Unamuita tu mkwe au shangazi utavyojiskia wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…