Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

Kuoa binamu ni upumbavu!
 
Unachanganyikiwa na kitu kidogo namna hii, sasa jirani yangu alizaa na mtoto wa kufikia wa mke wake. Mke wake atakuwa nani, maana mtoto wake ni mjukuu wake!
 
Anakuwa Shangazi mkwe,ilikuwa zamani saiz imepungua sana kwa sababu ilichangia kuvuruga mahusiano ya kindugu hasa ndoa inapovunjika
 
Shangazi undugu haufi
 
anakuwa mkwe
 
Tiwaulize Waarabu wenye mila hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…