Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Beesmom

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
17,202
Reaction score
28,732
Nipo pumziko ya week moja standard 7 wanahitimu Alhamisi hivyo maticha twala bata. Mwenye nafasi aje anichukue kesho Jumatatu tafadhali.

Turudi kwenye mada, najua kupenda kupo tena kunachukua nafasi kubwa moyoni. Sasa nilitaka nijue, kuwa kumpenda mtu ni fimbo? Yaani ni lazima uteseke, udharaulike, unyanyasike na huyo umpendaye?

Yaani ana dalili zote hakupendi na una dalili zote unaforce mapenzi na kuaminika kwake, je, ni lazima unyanyasike ndiyo uprove unapenda? Yaani huwezi kusepa ila unaweza kuvumilia dharau, kwani lazima upitie hayo?
 
Nakuja inbox kukusalimia.
 

Beesmom tulikwambia kuhusu ile mitikasi wewe ukawa unatuona wajinga,hayo ndiyo matokeo yake sasa![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…