Mapenzi yanatakiwa yawe 50-50 effort
Ukiona wewe ndio unatumia nguvu nyingi ujue hupendwi. Kila mtu anachukia cheap things, ukijishusha na kujirahisisha sana kwa kuamini ndio mapenzi lazima uchezee za uso. Ni issue ya kisaikolojia tu mtu kutothamini kitu anachoweza kuki access anytime tena for free kabisa.
Mapenzi hayatakiwi yakutese, yanatakiwa yakupe furaha, hopes n.k, ukiona unateswa na mapenzi fahamu kua haupo sehemu sahihi, ila ukiwa sehemu sahihi vitu vina flow vyenyewe tu bila kutumia nguvu kabisa.
Haijalishi mtu unampenda kiasi gani lazima na wewe muhusika utambue thamani yako "You have mass you occupy space You matter [emoji4]"
Cha muhimu upunguze kujionea huruma, uwe mtu wa kuchukua maamuzi magumu ukiona sehemu hakuna love just move on.
Watu weupe wana msemo wao unasema
"In three words I can sum up everything I have learned about life IT GOES ON"
View attachment 2375815