Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Hv kupenda au kupendwa kupitiliza ni kupi
Kupenda kupitiliza ni kuwa na hisia Na mwenzio Kwa kiwango chajuu kabisa ni nzuri kma utampata anakupenda Kwa kiwango hikohiko ila mbaya ukimpata asiekupenda Kwa kiwango hiko na ndicho alichozungumzia mtoa mada kuna kudharaulika kunyanyasa kihisia,n.k.
 
Beesmom Hio nayo ni changamoto kubwa kwa wanaume ya kushindwa kubalance wapenzi wao yani amuache nani ampotezee nani so anahang hang nao ivoivo mwanamke mwenye akili timamu ataeshtuka mapema ndio atajiengua mwenyewe kwa jitihada zake!
Anashindwa achague Vp,mi Nahisi alishachagua ila namna ninavyoteseka juu yake ndo starehe yake....daaa,sitaki hata kuyakumbuka maana ni maumivu
 
Ubaya wa wanawake wanapenda pesa na magari, na wanaume tukishapata pesa hatuna tena haja ya kupendwa na mtu ambaye hatujachuma naye,

A satisfied need doesn't motivate a man.
 
Thread ifungwe [emoji120][emoji120][emoji120]
First love huwa ndo inaumiza sana watu hapa inaitwa falling deeply down inside haert ya jamaa au manzi

Unajua kwa nini wanamke na wanaume wengi ni love players

Uliza maumivu ya penzi la kwanza
 
Kwamba huyu wa kwenye picha ni wewe na unatesekea mapenzi...🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom