Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupenda kupitiliza ni kuwa na hisia Na mwenzio Kwa kiwango chajuu kabisa ni nzuri kma utampata anakupenda Kwa kiwango hikohiko ila mbaya ukimpata asiekupenda Kwa kiwango hiko na ndicho alichozungumzia mtoa mada kuna kudharaulika kunyanyasa kihisia,n.k.Hv kupenda au kupendwa kupitiliza ni kupi
Anashindwa achague Vp,mi Nahisi alishachagua ila namna ninavyoteseka juu yake ndo starehe yake....daaa,sitaki hata kuyakumbuka maana ni maumivuBeesmom Hio nayo ni changamoto kubwa kwa wanaume ya kushindwa kubalance wapenzi wao yani amuache nani ampotezee nani so anahang hang nao ivoivo mwanamke mwenye akili timamu ataeshtuka mapema ndio atajiengua mwenyewe kwa jitihada zake!
Kabisa!!Usiteseke
Watu wapo wengi sana duniani hapa
Ukiona mateso yanazidi raha potezea
Ni kweli japo hata sijui kama analo,mi nilimpenda jinsi alivyo...I mean kiutuuzima sana....Ubaya wa wanawake wanapenda pesa na magari, na wanaume tukishapata pesa hatuna tena haja ya kupendwa na mtu ambaye hatujachuma naye,
A satisfied need doesn't motivate a man.
Piga chiniNa yanamwendea sana,
Sawa,subiri nipone
🤣ichane,Afu nisingekamatwa....beesmom hafahamiki sana labda To yeye😉
First love huwa ndo inaumiza sana watu hapa inaitwa falling deeply down inside haert ya jamaa au manziThread ifungwe [emoji120][emoji120][emoji120]
🤣🤣🤣Sahihi kabisa...japo wengi uplayer ni tabia zaoFirst love huwa ndo inaumiza sana watu hapa inaitwa falling deeply down inside haert ya jamaa au manzi
Unajua kwa nini wanamke na wanaume wengi ni love players
Uliza maumivu ya penzi la kwanza
Ati nisikiguse... Nisikuangalie... Nisikuongeleshe...Masharti gan hayo ndugu
💃💃 na iwe hivyo