Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Tafuteni pesa.Money is not everthing in a relationship. Money is the only thing.
Ukiwa na pesa hutanyanyasika kimapenzi.Utegemezi ndio unaleta manyanyaso.Hasa wanaume akijua umempenda na unamtegemea basi atakunyanyasa.Economic freedom is the key.Hatakushobokea ovyo.
Pesa inasaidia kuwala / kuwapata wanawake bila kutumia nguvu na automatic hao wanawake kwako wanakua wamefata pesa tuna sio mapenzi! Means wanapenda pesa zako tu
 
Screenshot_20221003_005148.jpg
 
Ukiweza ignore and override unakuwa huna tofauti na malaya,, utaenda mbali zaidi na hutaweza kurudi, mapenzi yatakuwa sio hisia tena yatakuwa ka mchezo and trust me si nzuri in a long run
Naelewa lkn sijaamanisha hivo ni kuwa kupenda iwe kiasi maanayake usipendwe kupitiliza nowdays watu hawathamini upendo Tena Wana mambo mengi yanayowaingiza kwenye mahusiano sio upendo Wala mapenz

Angalia hata hapa MMU vinavyojadiliwa ndo taswira halisi ya vijana na fikra zao kuhusu mahusiano na ndoa why nipende sana na nikipenda sana hatmayake nin nipende Ili niumie
 
Nifanye nn,niendelee kuumia?
Mtafute have an honest conversation kuhusu hilo swala uone anasemaje,

pima points anazosema kama zina uzito au la tafuteni wote why anafanya anayotafanya,, tafutieni ufumbzi then muendelee,,

akifanya tena means hakumaanisha chochote alichokisema hapo we ondoka tu, itauma kama ulimpenda kweli,,

Jipe muda wa healing make sure huna kinyongo nae anza date tena with all your heart
 
🤦
 
Asante sana Kwa ushauri 🤝
 
Hv kupenda au kupendwa kupitiliza ni kupi
 
Jitahidi kubalance shobo za hisia zako! Mbaya zaidi wewe ukimpenda zaidi na akajua ilhali yeye anakuchukulia poa tu aloooooou utajuta!!

Balance hisia zako na usimshobokee kiivo!
 
Back
Top Bottom