Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Ila kwangu mimi kontent nmeoan ipo sehem ya kuja kuchukulia...toa location nichangamkie fursa
Ngoja kichwa kitulie,nakuibukia pm tomorrow wangu
 
Huwezi mpends mtu asiye na Akili alafu asikunyanyase.
Huwezi mpenda mtu asiye na upendo alafu usiteseke.

Hivyo penda mtu mwenye Akili timamu na mwenye Upendo
 
Wanaume wenzangu wengi siyo waaminifu ni wachache sana ndo waaminifu yaan kama marafiki zangu wote hawafai angalau mimi ndo huwa natabia nzuri
🤣🤣🤣aiseee🙌
 
Huwezi mpends mtu asiye na Akili alafu asikunyanyase.
Huwezi mpenda mtu asiye na upendo alafu usiteseke.

Hivyo penda mtu mwenye Akili timamu na mwenye Upendo
🤣🤣🤣Ivi anakuwa hana akili kweli..jamani siyo vizuri ...umenena vibaya
 
Aah..natanguliza shukrani zangu za dhat kabxaa..sema leo ndo J3..inakuwaje tena kesho..au weng wamefanya booking kwa siku ya leo?
Hakuna tuliyepanga kuonana,wote nimewaambia kama nilivyokuambia Ivo kesho tutakutana as group tufanye tour 😜
 
🤣🤣🤣Ivi anakuwa hana akili kweli..jamani siyo vizuri ...umenena vibaya

Akili sio Matako kwamba kila mtu anayo,
Wengine wanazozinazowatosha wao lakini hawana akili za kuwatosha na na wengine.
Hao ndio wengi Duniani.

Ogopa ku-date na mtu Mpumbavu kwenye maisha yako. Huwezi pata upendo Kwa Mpumbavu
 
Nimekuelewa Kamanda🤜
 
Mapenzi 1 mstari wa 3
Usipende kupitiliza utajitesa bure

Mapenzi 1 mstari wa 15
Wenye mapenzi ya dhati walikuwa adam na hawa wengine kaa mguu pande mguu sawa
Mapenzi 6 mstari wa 12
Usimwami mwanamke ishi nae kwa akili
 
Back
Top Bottom