Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Jipende mwenyewe kwanza, kisha mama yako mzazi, wengine watafata kwa kuzingatia wanakupendaje,
Kujipendekeza kwa mtu ni ufala huo, kwani yeye ndio mshika funguo wa peponi?
 
Jipende mwenyewe kwanza, kisha mama yako mzazi, wengine watafata kwa kuzingatia wanakupendaje,
Kujipendekeza kwa mtu ni ufala huo, kwani yeye ndio mshika funguo wa peponi?
😭😭😭😭🫂
 
Sijazingatia uzi wote..hapo kuja kuchukuliwa naomba nipate kujua uko wap..mengine yanazungumzika
 
Wanaume huwa tunapenda sana kabla hatujaonja mzigo ila tukishakula tunda upendo unapungua kwahiyo mtuvumilie
 
Sijazingatia uzi wote..hapo kuja kuchukuliwa naomba nipate kujua uko wap..mengine yanazungumzika
🤣jaman,soma Uzi wote tafadhali....utagundua juu hakuna mantic sana
 
Wanaume huwa tunapenda sana kabla hatujaonja mzigo ila tukishakula tunda upendo unapungua kwahiyo mtuvumilie
Afu Cha ajabu hatujakulana Sasa....nilikuwa nampenda tu
 
Uliandika comment wakati muda huo nalia Ivo nikakosa Cha kukujibu rafiki,but Santee Kwa ushauri
Unalia nini shida mshikaji wangu, we tatizo upendwe tu, hebu chukua elfu 10 yako nunua kuku upike supu ya kuku kwa chapati zitafune, shushia na juice ya parachichi, mix na ndizi usagie maziwa utanishukuru kesho kutwa.

Hakupendi yeye kuna wengine wanakupenda, yaani jitu lisilokupenda kikuumize ifike hatua uumwe ama ukufe uwape shida na mawazop wenye kukupenda, acha huo upuuzi mamii
Tena acha mara moja
Ye nani kwani, umezaliwa nae, mapacha waakati mwingine hawapendani itakuwa nyinyi we wa Mbeya ue wa kasulu sijui hukk😂

Kwani ye ndio wa kwanza, hujawahi kupenda na ukapita hivi maisha yakaendelea,
Ye ndio kashika pumzi zako.
Piga chini fanya mengine.
Ye ana umuhimu kuliko wanao? Ana umuhimu kuliko wazazi wako?
 
Afu Cha ajabu hatujakulana Sasa....nilikuwa nampenda tu
Sasa kumbe hata mzigo hajakukula shida nini.

Shida yenu wanawake mnapenda sijui niseme atensheni plizi.. Hapo unabaki kujiuliza shida nini asikupende, una mapungufu gani, we sio mzuri n.k..
 
Sasa kumbe hata mzigo hajakukula shida nini.

Shida yenu wanawake mnapenda sijui niseme atensheni plizi.. Hapo unabaki kujiuliza shida nini asikupende, una mapungufu gani, we sio mzuri n.k..
Nalikuwa nampenda tu,namwona mpole sana nami ndo ugonjwa wangu....ila shida anaonekana ana mpenzi mwingine Ivo anashindwa kubalance....na ni kama kutokuwa na interest kumeegemea kwangu
 
Back
Top Bottom