Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Ndio hivyo
Ingekuwa inawezekana kuambia moyo mtu fulani usimpende na ukakubali sidhani kama kungekuwa na matatizo mengi ya mapenzi
Inawezekana kabisa...

Ukihisi unampenda sana mtu kumbuka madhaifu yake au kasoro aliyo nayo mwilini kwake ambayo hauipendi sana.

Ukifanya hivyo utaona upendo unapungua kidogo, alafu ukiona unashuka sana unarudi kwenye mazuri yake utaona upendo unaanza kupanda.

Hiyo ndio njia ninayotumia mimi kubalance upendo. Usipojua kubalance upendo utakuwa mtumwa wa mtu
 
Mamb CYO sawa
Screenshot_20221002-190421.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Inatokea tu; kuna mmoja atapenda kupita kiasi; hasa kama alipelekewa moto vizuri
 
Back
Top Bottom