Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Jifunze kujipenda, kuwa selfish, sio dhambi kuwa selfish.
Kingine have positive imagination, we amini unapendwa, Kama hakupendi shauri zake....na Kama yeye hakupendi kuna wengine wanakupenda.
 
😳Dada,yaan mtu anaonyesha matendo yote anakudanganya then nijiaminishe ananipenda🤣🤣 Nahisi nimeshindwa aisee
 
Mapenzi 1 mstari wa 3
Usipende kupitiliza utajitesa bure

Mapenzi 1 mstari wa 15
Wenye mapenzi ya dhati walikuwa adam na hawa wengine kaa mguu pande mguu sawa
Adam ndiye aliyempenda Hawa ila Hawa alimpenda Zaidí Nyoka na kutamani kuonyeshwa njia ya kuwa kama Mungu Ili akirudi Nyumbani amtawala Adam au awe Sawa Naye mana alichoka na mambo ya Adamu ya kumtajataja Mungu na kumsifia Mungu.
 
Tafuteni pesa.Money is not everthing in a relationship. Money is the only thing.
Ukiwa na pesa hutanyanyasika kimapenzi.Utegemezi ndio unaleta manyanyaso.Hasa wanaume akijua umempenda na unamtegemea basi atakunyanyasa.Economic freedom is the key.Hatakushobokea ovyo.
 
😳Dada,yaan mtu anaonyesha matendo yote anakudanganya then nijiaminishe ananipenda🤣🤣 Nahisi nimeshindwa aisee
Pole....Ila mapenzi hayashaurikiii, yakikuzidia utafanya maamuzi🤣 sie majirani tupo tumekaa pale chini ya mti, we pambana nayo!
 
Tafuteni pesa.Money is not everthing in a relationship. Money is the only thing.
Ukiwa na pesa hutanyanyasika kimapenzi.Utegemezi ndio unaleta manyanyaso.Hasa wanaume akijua umempenda na unamtegemea basi atakunyanyasa.Economic freedom is the key.Hatakushobokea ovyo.
Hakika🤜
 
Back
Top Bottom