Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Ivi anakuwa hana akili kweli..jamani siyo vizuri ...umenena vibayaHuwezi mpends mtu asiye na Akili alafu asikunyanyase.
Huwezi mpenda mtu asiye na upendo alafu usiteseke.
Hivyo penda mtu mwenye Akili timamu na mwenye Upendo
Aah..natanguliza shukrani zangu za dhat kabxaa..sema leo ndo J3..inakuwaje tena kesho..au weng wamefanya booking kwa siku ya leo?Ngoja kichwa kitulie,nakuibukia pm tomorrow wangu
Ha ha ha
Hakuna tuliyepanga kuonana,wote nimewaambia kama nilivyokuambia Ivo kesho tutakutana as group tufanye tour 😜Aah..natanguliza shukrani zangu za dhat kabxaa..sema leo ndo J3..inakuwaje tena kesho..au weng wamefanya booking kwa siku ya leo?
🤣🤣🤣Ivi anakuwa hana akili kweli..jamani siyo vizuri ...umenena vibaya
Nimekuelewa Kamanda🤜Akili sio Matako kwamba kila mtu anayo,
Wengine wanazozinazowatosha wao lakini hawana akili za kuwatosha na na wengine.
Hao ndio wengi Duniani.
Ogopa ku-date na mtu Mpumbavu kwenye maisha yako. Huwezi pata upendo Kwa Mpumbavu
Nimekuelewa Kamanda🤜
Mapenzi 6 mstari wa 12Mapenzi 1 mstari wa 3
Usipende kupitiliza utajitesa bure
Mapenzi 1 mstari wa 15
Wenye mapenzi ya dhati walikuwa adam na hawa wengine kaa mguu pande mguu sawa
🤣afu unacheka.Unyama mwingi yaan
Pole sana mwalimu time heals, jitahidi atakuelewa tu🤣🤣na nimeshindwa aisee