Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipende wewe zaidi. Binadamu ni the most selfish..... Ukimpenda anakudharau anachukulia kama ni udhaifuNipo pumziko ya week moja standard 7 wanahitimu alhamisi Ivo matichel twala Bata....mwenye nafasi aje anichukue kesho jumatatu tafadhali.......
Turudi kwenye mada,najua kupenda kupo Tena kunachukua nafas kubwa moyoni...Sasa nilitaka nijue kuwa kumpenda mtu ni fimbo Yaan ni lazima uteseke,udharaulike,unyanyasike na huyo umpendae? Yaan ana dalili zote hakupendi,na una dalili zote unaforce mapenz na kuaminika kwake...je ni lazima unyanyasike ndo uprove unapenda? Yaan huwezi kusepa ila unaweza kuvumilia dharau...kwani lazima upitie hayo?
Na kofia ya prova hiyo si freemason kabisa hiyo😳
Karibu ujiunge freemason utaachana na hizo ishu za kupenda ovyo!Na kofia ya prova hiyo si freemason kabisa hiyo😳
Huku ni pesa kwanza!Na pesa nitapata pia....wazo zuri sana❤️
Subiri wapungue PM kwanza, halafu nitakuja nkutoe ukapigwe upepo mwanana ufukweni.Yeah, this is real toxic relationship....zinaisha jumapili ijayo
Upo wapi? Nakuja soonmwenye nafasi aje anichukue kesho jumatatu tafadhali.......
Pm wapo wachache sana hivyo waweza kumchukua nafasi, kuhusu mwili wa swim suit Sina niwe mkweli usije umbuka hata kuoga nami🤦Subiri wapungue PM kwanza, af ntakuja nkutoe ukapigwe upepo mwanana ufukweni.
Swali la kizushi, mwili wa kuvalia swim suit unao kwanza?
🤣🤣🤣So unasema haiwezekani kupenda kiupande upande mkuuWatu humu kwa kuonesha misimamo ya ajabu ajabu hamjambo. Et penda kushoto mara nini. Ninyi semeni mnatamani na mnakua na watu msiowapenda basi. Ila upendo wa kweli hauwezi kujigawa wala kupretend. Yaan upende haswa then ujigawe acheni uongo bana.
Dear Sister pole. Ndio maisha kwa Kadri muda unavyoenda utakua Sawa. Usiogope kupenda ila kua makini na nani wa kumpenda.
Hilo wala lisikupe shida kuhusu mwili. Ushaniambia kitambo kuwa wewe ni futi 5. Hicho ndo muhim kwangu.Pm wapo wachache sana Ivo waweza kumchukua nafasi,kuhusu mwili wa swim suit Sina niwe mkweli usije umbuka hata kuoga nami🤦
Mimi pia nipo Kimanga karibu na ghorofa za VETANipo tabata kimanga hapa