Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Same applies to me…*****Mie mwenyewe kuna lidemu nalipenda yan nalipenda lishajua basi linaleta ufala tu...
Sa mie ufala staki naanza kumpotezea pole pole
Upo sahihi kabisa,Mapenzi ni hisia.Ndio hivyo
Ingekuwa inawezekana kuambia moyo mtu fulani usimpende na ukakubali sidhani kama kungekuwa na matatizo mengi ya mapenzi
Kuna watu wakipendwa sana wanachukulia kua ni udhaifu wa anayewapenda,wana anza kujiona kama vile labda wao wapo level fulani ya juu kuliko anayewapenda,The Icebreaker ushauri wako tafadhali😔
Likewise ❤️❤️❤️❤️Kuna watu wakipendwa sana wanachukulia kua ni udhaifu wa anayewapenda,wana anza kujiona kama vile labda wao wapo level fulani ya juu kuliko anayewapenda,
Mapenzi ni hisia,huwezi mlazimisha mtu awe na feeling na jambo fulani,mapenzi huanzia kwenye mioyo ya wapendanao kisha inafuata kupendana physical,
Kila mtu amepangiwa partner wake,utampata akupendae na utasahau yote uliyoyapitia,
Mapenzi yametesa watu wengi sana,mapenzi yameua watu,take easy and enjoy ur life.
Na kukurudisha jumapili😔nimesema wa kunibeba kesho
Mwendo wa kuila hadi ipige mluziNdiyo mpaka iwake moto🥴