Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Kabinti kale nilikapendaga sana moyoni bila kujijua na nikiwa na Kila sababu ya kutokumfanya wangu-cha ajabu mpaka huruma nilikuwa nakaonea , nikaja kugundua imekuwa ngumu kutenganishana ndiyo nateseka kwa Sasa hivi.

Aiseee mapenzi yamechanganyikana na mateso- ni mateso bila chuki Sasa hivi 😅😅😅😅
 
Nashaur:
Tuliza akili kwanza, unachotaka kikifanya hapo Aya ya kwanza Huenda kikakugharimu Sana.

Badala ya faraja yanaweza geuka majuto makuu
Nipo hapa naangalia mwelekeo tu,uzuri wa mambo haya majibu yake Huwa hayachelewi kabisa
 
Kabinti kale nilikapendaga sana moyoni bila kujijua na nikiwa na Kila sababu ya kutokumfanya wangu-cha ajabu mpaka huruma nilikuwa nakaonea , nikaja kugundua imekuwa ngumu kutenganishana ndiyo nateseka kwa Sasa hivi.

Aiseee mapenzi yamechanganyikana na mateso- ni mateso bila chuki Sasa hivi 😅😅😅😅
🤣🤣🤣eti mateso bila chuki
 
Kuna mtu anaenda kutuma na ya kutolea ili iliwe bure muda si mrefu...

Uzi umekaa kimtego Sana.
🤣🤣🤣Afu sipo Ivo mbona mkuu🤣🤣🤣Eti na ya kutolea 🥳
 
Back
Top Bottom