Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Ooooh kumbe tatizo sia hisia tatizo ni machaguzi ya wenza utakao kuwa nao
 
Hakika nisipoelewa hili bas sistahili kurudi Tena hapa yakinipata.....mi nashauri tu wazazi wawapende na kulea watoto wao was kike Kwa upendo was juu....msikatae watoto,msitupe watoto....waleeni Kwa upendo Jamani.....wakikua wanaanza kutafuta upendo mahali pasipo Sahihi....wanaamini wasioaminika ....naumia kweli yaan
 
Kuna binti nilimfuata, nikamueleza hisia zangu zote, aliishia kunitukana hadharani. Kwa aibu nilirudi gheto, nikanywa maji nikalala bila kula.

Wiki moja baadae, yeye ndo akaanza kuteseka. Tena zaidi yangu!

Mapenzi bhana[emoji23]
 
Umetisha bro. Maneno yamenipa nguvu. Pamoja sana.
 
Kuna binti nilimfuata, nikamueleza hisia zangu zote, aliishia kunitukana hadharani. Kwa aibu nilirudi gheto, nikanywa maji nikalala bila kula.

Wiki moja baadae, yeye ndo akaanza kuteseka. Tena zaidi yangu!

Mapenzi bhana[emoji23]
🤣ikawa zamu yake
 
The best way to get someone attention is to stop give them yours.
 
Mad Max Beesmom

Ndugu zanguni katika JF, jifunzeni sana ku balance shobo mta enjoy sana. Pendeni ila zitambueni thamani zenu.
Miaka kadhaa nyuma wakati msichana mmoja ninayempenda ananifanyia visa pembeni kulikua na wasichana wanne tofauti (hawajuani kabisa) wote walikua wananitaka kimahusiano. Indicators zote na mazingira yote ya kua nayo walinitengenezea lakini sikutoka nao wala sikutaka kuwaumiza yani nitoke nao wakati siwapendi hivo nikawapotezea juu kwa juu.

Ila kila nilipokua nakaa peke yangu nikawa najiuliza kama wanawake wanne wananitaka tena demand yangu kwao ni kubwa sana basi mimi ni wa thamani sana sasa kwanini huyu mmoja ninayempenda nimpe nafasi ya kuniumiza, kunitesa na kuninyanyasa.

Long story short, nilimpotezea na it was my best decision ever. So tujifunze kuthamini thamani zetu no matter what.

*Suffering is not a punishment is a result.
 
Napitia hiki kipindi. Nitachukua huu ushauri aisee.
 
Mim Mungu anisamehe tu kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…