Hivi ukipewa masharti ya utajiri ufanye mapenzi na ndugu yako utakubali?

Hapa wengi watatukana Ila kiuhalisia wengi wanafanya mambo behind the scenes ambayo ni siri zao kubwa ambazo hawataki zitoke kwa gharama yoyote. Kwa hiyo vingi wanavyoongea watu usoni ni tofauti kabisa na wanayoyafanya gizani
 
Hivi kwa kweli Mungu Hawezi kukupa utajiri? Mpaka kufikia hatua hii?
Hapa wengi watatukana Ila kiuhalisia wengi wanafanya mambo behind the scenes ambayo ni siri zao kubwa ambazo hawataki zitoke kwa gharama yoyote. Kwa hiyo vingi wanavyoongea watu usoni ni tofauti kabisa na wanayoyafanya gizani
 
Watu wanapiga mama zao mkuu
Watu wapiga watoto wao
Watu wanapiga .....
Afu siyo sababu ya masharti ya kupata utajiri.
Ni uchafu tu,uchafu Kila pahala.
Bado haujiulizi kwanini mwanaume anaamua kujivua heshima ya uanaume wake na kuamua kulalwa nyuma? Je tuite ni masharti? Hapana,ni sababu nyakati hizi ni za uharibifu🙏
 
Back
Top Bottom