nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
- Thread starter
- #41
Kulala na dada yako ni rahisi?Ingekuwa ni rahisi hivyo, wengi sana wangekuwa matajiri.
Hizi Imani kwenye vitu visivyoonekana zinapumbaza sana watu.
Unapoteza nguvu nyingi sana kuamini hadithi eti kafara za kutajirika, kuiba nyota, mwisho hujui hata nidhamu ya pesa ipoje umejaza hadithi tu kichwani.