Hivi ukipewa masharti ya utajiri ufanye mapenzi na ndugu yako utakubali?

Haki ya nani, utajiri una siri kubwa sana wakuu, imagine unapewa masharti ya aina hii, serious?

Kumbe hizi v8, harrier, prado, Toyota, jeep ndo zinapatikana kwa haya madudu?
wapo wanaofanikiwa kutekeleza masharti hayo. Ila huu ni ushetani, utamlalaje dada yako?
 
Wapo ambao wenyewe hupigwa miti ndio wanaupata utajiri huo. Wapo pia matajiri sharti lao ni kupigwa miti ili utajiri unawiri, ni aina ya makafara
 
Kuna jamaa moja ana maduka, maduka yake hafagii wala kufuta vumbi bidha wala kutoa mabuibui wala kufukuza panya anaacha wajilie bidhaa tani yao. Akitaka kunyandua mke wake anampeleka vichakani kumnyandulia huko. Mke alishamkimbia na kumuachia mtoto. Kaoa mke mwingine mwenye njaa kali anayeweza kuvumilia masharti hayo. Huu utajiri tuuone hivihivi una siri nyingi za ajabu
 
😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom