Hivi ukipewa masharti ya utajiri ufanye mapenzi na ndugu yako utakubali?

Hivi ukipewa masharti ya utajiri ufanye mapenzi na ndugu yako utakubali?

Yaani uwe tajiri kwasababu dhaifu sana hizi.
 
Acha utoto anaekupa huo utajiri yeye ni tajiri??

Pumbavuuuuuuu. Tamaa mbayaaaa
 
Kwa mwamposa mbona pale umejaa usanii tu. Imagine unanunua mafuta sijui maji, lakini je utajiri wao hua unadumu kwa miongo kadhaa?
Utajiri una ushetani ndani yake. Wengi wa kwa mwamposa wanahitaji nyumba, gari na milo isiyokuwa na shida..

Ila utajiri wenyewe halisi sidhani kama watu wengi wana hamu nao
 
Kweli mkuu utajiri una siri kubwa sana.
Kabisa na hakuna atakaekuambia tobo lake lilikuwa ni lipi maana kuna baadhi walipiga mishe haramu ndio wakapata mitaji mikubwa ya kusimamisha biashara halali
.
Na kuna wengine wanapiga deal haramu Ila hizi biashara halali zinatumika kutakatishia fedha na kujisafisha mbele za watu
 
Haki ya nani, utajiri una siri kubwa sana wakuu, imagine unapewa masharti ya aina hii, serious?

Kumbe hizi v8, harrier, prado, Toyota, jeep ndo zinapatikana kwa haya madudu?
Watu wanalambana kila siku bila hayo masharti.
Unafikiri ma dongo mama wanapatikana vipi kwa wingi?
 
Ndiyo maana, tumekubali kubaki na hali zetu, kuliko utajiri wa haramu, wa kuumiza au kudhulumu nafsi za binadamu mwenzio kwa ajiri yako.
Na utajiri wa ulozi hauridhiwi.
 
Back
Top Bottom