Hivi ukipewa masharti ya utajiri ufanye mapenzi na ndugu yako utakubali?

Haki ya nani, utajiri una siri kubwa sana wakuu, imagine unapewa masharti ya aina hii, serious?

Kumbe hizi v8, harrier, prado, Toyota, jeep ndo zinapatikana kwa haya madudu?

Ushahidi mwingine wa wazi elimu ya juu wangali likizo
 
Lakini wengi naona wanafanya hivyo kwa sabahu ya masharti ya babu kunoga
 
Hakuna wanadamu wenye akili timamu anaweza huo uchafu ,mpenzi tu ni kwa ajili ya tamaa tu ya miili yetu
 
Hakuna mwanaume timamu anayesex na mwanaye ama mamaye hilo na pinga kama unabisha mtaje?
 
Ingekuwa ni rahisi hivyo, wengi sana wangekuwa matajiri.

Hizi Imani kwenye vitu visivyoonekana zinapumbaza sana watu.

Unapoteza nguvu nyingi sana kuamini hadithi eti kafara za kutajirika, kuiba nyota, mwisho hujui hata nidhamu ya pesa ipoje umejaza hadithi tu kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…