Hivi ukipewa masharti ya utajiri ufanye mapenzi na ndugu yako utakubali?

Kulala na dada yako ni rahisi?
 
Kulala na dada yako ni rahisi?
 
Hivi kwa kweli Mungu Hawezi kukupa utajiri? Mpaka kufikia hatua hii?
Dunia uwanja wa fujo mkuu, kuna wanaopata maisha hayo straight tu na wengi wengi kwa njia wanazozijua wao ikiwemo mauaji, unyang'anyi, ufisadi, shirki etc

Kwa hiyo kipindi unamuuliza Mungu kwa nini asiwape watu utajiri, kuna wengi tu hata hofu ya Mungu hawana Ila wanatoboa kuliko wanaoshinda kwa mwamposa
 
Kwa mwamposa mbona pale umejaa usanii tu. Imagine unanunua mafuta sijui maji, lakini je utajiri wao hua unadumu kwa miongo kadhaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…