Hivi ukitoa hela kwenye ATM halafu ukaiacha pale kwenye kibox chake inaweza kurudi ndani kama card?!

Salam..

Sijawahi kujaribu au kama kuna mtu imewahi kumtokea akachelewa kuitoa hela baada ya kutoka, je itadumbukia tena ndani au itakaa hapo hapo itaganda tu inasubiria.

Na kama ikirudi mahesabu yatakuwaje kwenye account yatajirudi tena kama awali au balance itapungua.

Changamsheni kichwa kidogo.
Ndio.
Kama unabisha kajaribu.
 
Sina hakika ila ikirudi lazima itakwenda kuongezwa kwenye akaunti.

Nasema hivyo kwa sababu kuna siku nilikuwa natoa, ATM ikawa inahesabu hela then inafungua kamlango na haitoi kitu halafu inafunga inahesabu tena.

Wakata huo napata msg 2, ya kutoa hela na ya kurudishwa hela kwenye akaunti.
2 different cases.
 
Kaangalie vizuri pale zinapotokea fedha halafu ulete majibu kuwa zina sumaku kwamba zitavutwa au ina kuwaje?
Hela inarudi ndani hii ina create over in physical cash for Atm yaani hawawezi kuiona in daily Atm reconciliation so wakifanya Atm replenishment ndo wataona na kukurudishia kwa account but ukienda utajaza form for early refund
 
Sina hakika ila ikirudi lazima itakwenda kuongezwa kwenye akaunti.

Nasema hivyo kwa sababu kuna siku nilikuwa natoa, ATM ikawa inahesabu hela then inafungua kamlango na haitoi kitu halafu inafunga inahesabu tena.

Wakata huo napata msg 2, ya kutoa hela na ya kurudishwa hela kwenye akaunti.
Mkuu hapo kama ilikuwa inasesabu na kurudisha mara nyingi huwa ni network au humo kwenye Atm kuna kiasi kichache cha pesa kwa mfano imebaki elfu ishirini tu za elfu tano tano na ww umeomba labda tuseme laki huwa zinatoa feedback umetoa kiasi ulichoomba lkn ukiangali balance utakuta iko pale pale kuhusu kuacha hela pale mlangoni Atm nyingi wanahesabu sekunde usipochukua inarudi ndani na ukiangalia kwenye acc hutoona hiyo pesa itakilazimu uingie bank ndani ujaze form watafungua huko Atm huwa wanarudisha baada ya masaa 72...
 
Nahisi hela itarudi ndani. Mfano BANCABC ukitoa hela ukaomba na risiti, ukichelewa kuchukua hiyo risiti, inarudisha ndani. Sasa itakuwa kwa hela!
Chief hela ikirudi haikai kwenye acc yako inakuwa pending ndani ya atm japo zipo za kisasa hata ikirudi inarudi kwenye acc yako kwa mfano dtb ikirudi lazama uende ukacomplain wanarudisha baada ya saa 72 .
 
Sina hakika ila ikirudi lazima itakwenda kuongezwa kwenye akaunti.

Nasema hivyo kwa sababu kuna siku nilikuwa natoa, ATM ikawa inahesabu hela then inafungua kamlango na haitoi kitu halafu inafunga inahesabu tena.

Wakata huo napata msg 2, ya kutoa hela na ya kurudishwa hela kwenye akaunti.
Hili Ata mie lime nitokea na pesa ili rudishwa, Lakin mbona hii sio kosa lako nikosa la mashine yenyewe kwa kesi ya mtoa Mada inatofuat japo kidogo
 
Mkuu hapo kama ilikuwa inasesabu na kurudisha mara nyingi huwa ni network au humo kwenye Atm kuna kiasi kichache cha pesa kwa mfano imebaki elfu ishirini tu za elfu tano tano na ww umeomba labda tuseme laki huwa zinatoa feedback umetoa kiasi ulichoomba lkn ukiangali balance utakuta iko pale pale kuhusu kuacha hela pale mlangoni Atm nyingi wanahesabu sekunde usipochukua inarudi ndani na ukiangalia kwenye acc hutoona hiyo pesa itakilazimu uingie bank ndani ujaze form watafungua huko Atm huwa wanarudisha baada ya masaa 72..

Mkuu hapo kama ilikuwa inasesabu na kurudisha mara nyingi huwa ni network au humo kwenye Atm kuna kiasi kichache cha pesa kwa mfano imebaki elfu ishirini tu za elfu tano tano na ww umeomba labda tuseme laki huwa zinatoa feedback umetoa kiasi ulichoomba lkn ukiangali balance utakuta iko pale pale kuhusu kuacha hela pale mlangoni Atm nyingi wanahesabu sekunde usipochukua inarudi ndani na ukiangalia kwenye acc hutoona hiyo pesa itakilazimu uingie bank ndani ujaze form watafungua huko Atm huwa wanarudisha baada ya masaa 72...
Massa 72 ni siku tatu kama huna hela inabidi ukakope.
 
Chief hela ikirudi haikai kwenye acc yako inakuwa pending ndani ya atm japo zipo za kisasa hata ikirudi inarudi kwenye acc yako kwa mfano dtb ikirudi lazama uende ukacomplain wanarudisha baada ya saa 72 .
Hapa wazungu siwapi maua yao wamefeli.
 
Back
Top Bottom