Hivi ukiwa kada wa CCM ni lazima uwe kilaza?

Katika mkutano wao leo alisikika kada mmoja akisema vyama vya upinzani ni wapiga kelele kama mbu wakati ana ongea pia baada ya kusema visima anasema vichimba ama kweli ccm makada wao ni mapapai na ni viazi kabisa
unatakiwa kukata mshipa mmoja wa akili ndio utakuwa ccm. kwa akili za kawaida lazima utajisikia vibaya tu.
 
CCM wanajua shida za watu ,wanajua wanachofanya na nini wanatakiwa wafanye katika kuwatumikia wananchi.

lakini kwa makusudi kabisa wameamua kuwa wabinafsi wachoyo wezi ,wazurumaji, wanaojilimbikizia mali kupita kiasi yaani utajili walio nao haulingani na vipato vyao na umri wao.
wamekuwa wauaji wakati mwingine bila wao kujua lakini kwa kukusudia.
lakini njia pekee ni kuwapora chama chao kwakuwa ndipo tutakapoweza angalau kuokoa vyakwetu.
upinzani bado hawajui wanatafuta nini na inawezekana njaa zinaweza kuwa sehemu ya vikwazo kwao.
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Back
Top Bottom