Hivi ukiwa kada wa CCM ni lazima uwe kilaza?

Hivi ukiwa kada wa CCM ni lazima uwe kilaza?

Inaruhusiwa kuwa kilaza CCM lakini usiwazidi upinzani kwa ukilaza. Nilazima uaachie uongozi upinzani katika sekta hii
 
Katika mkutano wao leo alisikika kada mmoja akisema vyama vya upinzani ni wapiga kelele kama mbu wakati ana ongea pia baada ya kusema visima anasema vichimba ama kweli ccm makada wao ni mapapai na ni viazi kabisa
Kukosea kawaida haina Kada wa ccm wala chadema, kama ungekuwa kukosea unakuwa kilaza basi tuko wengi sana
 
We acha tu mkuu, achana nao na wala usiwe na mazoea nao
Ni noma wanatisha kama ukomaa.....kuna kijiwe chao siku moja nilikaa aisee mambo waliyoongea siku ile niliogopa sana..kumbe tunaishi na mashetani binadamu
 
Back
Top Bottom