Sio lazima uwe kilaza mkuu ila ukisha ingia tu mfumo wa chama unakulazimisha kuwa kilaza tu
Mle hurusiwi kuwa na mawazo mbadala, kukosoa, ni mwendo wa kushangilia, kusema ndio basi hata kama jambo unaliona halipo sawa, na akili ya kujiondoa ndani ya chama hutoweka ghafla,
Wewe mtu mzima na familia inawezekana vipi kukuna nazi mbele ya umma, kugala gala kwenye mchanga, kulala chini mtu awapite juu ya migongo na mwishowe tenguliwa nyonga,
Kuruhusu kauli ya watu wachache ndani chama kuwa kauli moja kwa niaba ya wanachama wote,