Hivi ukiwa kada wa CCM ni lazima uwe kilaza?

Usiwasimgizie upinzani, mara ngapi wameitisha maandamano kupinga umbumbumbu na dhulma za CCM na haujatokea? Wananchi wanaojielewa huunga mkono maandamano kupinga dhulma, wewe hutokei halafu unalaumu Nini?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Katika mkutano wao leo alisikika kada mmoja akisema vyama vya upinzani ni wapiga kelele kama mbu wakati ana ongea pia baada ya kusema visima anasema vichimba ama kweli ccm makada wao ni mapapai na ni viazi kabisa
watu na viatu hata hili ni lakuchafukwa kweli?
 
Katika mkutano wao leo alisikika kada mmoja akisema vyama vya upinzani ni wapiga kelele kama mbu wakati ana ongea pia baada ya kusema visima anasema vichimba ama kweli ccm makada wao ni mapapai na ni viazi kabisa
Unaahirisha kufikiri kwa nafsi kwakufuata mkumbo kama afanyavyo mnyama aitwae nyumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…