Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Katika mkutano wao leo alisikika kada mmoja akisema vyama vya upinzani ni wapiga kelele kama mbu wakati ana ongea pia baada ya kusema visima anasema vichimba ama kweli ccm makada wao ni mapapai na ni viazi kabisa
Pia ni "hivi" siyo " ivi"ni badala ya kusema.... na sio baada ya kusema... tumeelewana wewe BAVICHA
Kila mtu anapenda kwenda peponi lakini kila mtu hapendi kufa !!!Ukitaka kufika peponi au motoni lazima ufe!
Mwambie huyoPia ni "hivi" siyo " ivi"
Naunga mkono hoja 👍👏
Kufa lazima hata kama hapendi mtu ni lazima file lirudishweKila mtu anapenda kwenda peponi lakini kila mtu hapendi kufa !!!
Kiazi huyoKada mkuu👇😁😁😁
View attachment 2784196
Sio lazima uwe kilaza mkuu ila ukisha ingia tu mfumo wa chama unakulazimisha kuwa kilaza tuKatika mkutano wao leo alisikika kada mmoja akisema vyama vya upinzani ni wapiga kelele kama mbu wakati ana ongea pia baada ya kusema visima anasema vichimba ama kweli ccm makada wao ni mapapai na ni viazi kabisa
HahahaSiyo lazima. Ukilaza ni kipaji si kila mtu anayo mbona mi siyo kilaza.
Roho mbaya kwao, ukatiri kwao, yaani mimi siku hizi nawaogopa sanaSio lazima uwe kilaza mkuu ila ukisha ingia tu mfumo wa chama unakulazimisha kuwa kilaza tu
Mle hurusiwi kuwa na mawazo mbadala, kukosoa, ni mwendo wa kushangilia, kusema ndio basi hata kama jambo unaliona halipo sawa, na akili ya kujiondoa ndani ya chama hutoweka ghafla,
Wewe mtu mzima na familia inawezekana vipi kukuna nazi mbele ya umma, kugala gala kwenye mchanga, kulala chini mtu awapite juu ya migongo na mwishowe tenguliwa nyonga,
Kuruhusu kauli ya watu wachache ndani chama kuwa kauli moja kwa niaba ya wanachama wote,
KumbeSio lazima uwe kilaza mkuu ila ukisha ingia tu mfumo wa chama unakulazimisha kuwa kilaza tu
Mle hurusiwi kuwa na mawazo mbadala, kukosoa, ni mwendo wa kushangilia, kusema ndio basi hata kama jambo unaliona halipo sawa, na akili ya kujiondoa ndani ya chama hutoweka ghafla,
Wewe mtu mzima na familia inawezekana vipi kukuna nazi mbele ya umma, kugala gala kwenye mchanga, kulala chini mtu awapite juu ya migongo na mwishowe tenguliwa nyonga,
Kuruhusu kauli ya watu wachache ndani chama kuwa kauli moja kwa niaba ya wanachama wote,
ndioooooooKatika mkutano wao leo alisikika kada mmoja akisema vyama vya upinzani ni wapiga kelele kama mbu wakati ana ongea pia baada ya kusema visima anasema vichimba ama kweli ccm makada wao ni mapapai na ni viazi kabisa
Hawana akilindiooooooo
We acha tu mkuu, achana nao na wala usiwe na mazoea naoRoho mbaya kwao, ukatiri kwao, yaani mimi siku hizi nawaogopa sana