Ningeenda kutembea dubai na kufungua account binafsi, baada ya hapo ningeenda Kwa Kamala Haris kuomba msaada wa fedha bila kusahau uchina na korea kwa ajili ya ujenzi wa midaraja na mibarabara, baada ya kupokea msaada ningepeleka fungu sudan na kenya kusaidia janga la njaa bila kusahau waathirika wa tetemeko uturukiHapa mnaotaman kuwa viongozi tuone experience
Ni kweli ila kwa jinsi alivyoidhalilisha nchi yetu aisee, anastahili kunyongwa tu. Dogo hana faida yeyote na hiii nchi, anatutia hasara tu[emoji1787][emoji1787]Sio lazima umfunge Mzee Wa watu . ,,,
Unataifisha Mali zote za huyo muuza unga na kuhakikisha hapati kamwe NAFASI ya kisiasa katika nchi hii.
Ndiyo njia pekeeUkiianza hivyo utakufa haraka Kama Mwenda zake
Mzee unatuua mbavu unataka uraisi kwa njia gani🤣🤣 amka ndoton. Ukiona choo ndotoni usikitumie huo ni mtego😀😀Kila nikiwaza mimi kuwa raisi najikuta nacheka tu mwenyewe maana sijui yani [emoji3][emoji3] wacha nisikomenti maana
[emoji3][emoji3]Mzee unatuua mbavu unataka uraisi kwa njia gani[emoji1787][emoji1787] amka ndoton. Ukiona choo ndotoni usikitumie huo ni mtego[emoji3][emoji3]
Nourhan angekuwa raisi angepitisha mbege kuwa pombe ya taifa na Kura yangu angepata. .
Mh haya mambo wewe acha tu .Gily njoo msikie Dad [emoji23]mpaka ma desginer wa suit alienda kuwauliza suit ipi itampendeza [emoji23]
Uzi wako wa teuzi mbona siuoniMh haya mambo wewe acha tu .
Nimekumbuka mbali sana leo nikiwa morogoro kwenye kilele cha siku ya mfanyakazi pale Raisi aliposema hata yeye mfanyakazi namba moja eti nyongeza ya mshahara katika viwango vya asilimia 23.3 , yeye sio mnufaika [emoji848]