Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
Ningeenda kutembea dubai na kufungua account binafsi, baada ya hapo ningeenda Kwa Kamala Haris kuomba msaada wa fedha bila kusahau uchina na korea kwa ajili ya ujenzi wa midaraja na mibarabara, baada ya kupokea msaada ningepeleka fungu sudan na kenya kusaidia janga la njaa bila kusahau waathirika wa tetemeko uturukiHapa mnaotaman kuwa viongozi tuone experience