Hili swali binadamu wengi wanakwepa sana kujiuliza na wengine hawataki kujiuliza kwa sababu imani zao za kidini zimesha wapumbaza na kudhibiti fikra na mitazamo yao.
Religion hijacks the mind and gives it an excuse to stop thinking critically.
Mtu anajiuliza tu, Dunia ilitoka wapi, Lakini hajiulizi na huyo Mungu alitoka wapi. Anaamini tu, huyo Mungu alikuwepo tu from nothing.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetokea sehemu fulani, Hata hiyo sehemu vinapotokea vitu hivyo haiwezi kuwepo yenyewe tu. Na yenyewe lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na muumbaji, Hata huyo muumbaji wa kila kitu lazima awe na muumbaji wake mwingine.
Kama kila kitu kilichopo kitahitaji kuwa na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu kitahitaji kuwa na chanzo chake kingine.
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu pasipo Chanzo/Muumbaji.
Hivyo kutakuwa na
msururu mrefu wa vyanzo vingi na visivyokuwa na mwisho. Kutakuwa na msururu mrefu wa waumbaji wengi, pasipo kukoma.
Hii ya kusema kwamba Mungu hana chanzo, ila Dunia lazima iwe na chanzo ni
logical fallacy inaitwa
special pleading fallacy.
The special pleading fallacy occurs when someone argues that a general rule applies to everyone except themselves or a specific case, without justifying why, often to avoid accountability or to protect a cherished belief.
It involves creating an unjustifiable exception when a claim is proven false.
It is generally used to make a special exception for oneself or a personal belief.
The Argument: "Everything that exists has a cause; the universe exists; therefore the universe has a cause (God)".
The Fallacy: When asked "What caused God?", the proponent replies that God is exempt from needing a cause.
Common Justification: Proponents often argue that God is an "uncaused, eternal reality," unlike the universe which began to exist.
Pia kufosi kwamba lazima Dunia iwe na muumbaji, lakini muumbaji huyo hana muumbaji wake. Ni logical fallacy inaitwa "
Divine fallacy"
The divine fallacy is a logical fallacy that occurs when someone assumes that a certain phenomenon must occur as a result of divine intervention or a supernatural force, either because they don’t know how to explain it otherwise, or because they can’t believe that this isn’t the case.
The divine fallacy is important to understand, since people frequently use it in an attempt to discredit scientific theories that they disagree with, and in order to support various pseudoscientific concepts.
The divine fallacy and the God of the gaps...👇
The God of the gaps is an argument where gaps in scientific knowledge are presented as proof of God’s work. God of the gaps arguments therefore tend to have the following basic structure:
Premise 1: if science can’t explain a certain phenomenon, then it must be the work of God.
Premise 2: science can’t explain phenomenon X.
Conclusion: phenomenon X must be the work of God.
Accordingly, God of the gaps arguments are highly similar to those that involve the divine fallacy. The main difference between these fallacies is that the God of the gaps fallacy depends on what is known by the scientific community, whereas the divine fallacy depends on what is believed by the speaker.
Hance Mtanashati