Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Nchi imekosa watu wengi wenye akili wapo busy na vitu vya kijinga jinga ndio maana hata wanaotawala wanatoa matamko ya hovyo kwa sababu ya watu hawa..Utaanza kujiuliza ingekuwaje sasa hivi unapelekewa moto na ungekaa mkao upi ? Kisha utasema Kuna ubaya gani ukijaribu kidogo .