mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
kabla ya kuhoji amesema wapi.Alisema wapi haya?
Alimwambia nani haya?
Unatakiwa ujihoji wewe ni nani na chanzo chako ni kipi
kabla ya kuhoji amesema wapi.Alisema wapi haya?
Alimwambia nani haya?
Kuona upepo kwa namna gani? Roho ni nini?Wewe ushawahi kuuona UPEPO?
AU ROHO?
Daah! 😂😂😂Na what if chanzo kilichomleta Mungu, ndiyo chanzo hichohicho kilicho mleta binadamu. Lakini yeye (Mungu) katu brain wash wenzie (binadamu) kwamba yeye ndiyo chanzo. Labda kwasababu alitangulia kutokea
Nilitaka kushangaa nisingeona comment yako.😀Hili swali binadamu wengi wanakwepa sana kujiuliza na wengine hawataki kujiuliza kwa sababu imani zao za kidini zimesha wapumbaza na kudhibiti fikra na mitazamo yao.
Religion hijacks the mind and gives it an excuse to stop thinking critically.
Mtu anajiuliza tu, Dunia ilitoka wapi, Lakini hajiulizi na huyo Mungu alitoka wapi. Anaamini tu, huyo Mungu alikuwepo tu from nothing.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetokea sehemu fulani, Hata hiyo sehemu vinapotokea vitu hivyo haiwezi kuwepo yenyewe tu. Na yenyewe lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na muumbaji, Hata huyo muumbaji wa kila kitu lazima awe na muumbaji wake mwingine.
Kama kila kitu kilichopo kitahitaji kuwa na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu kitahitaji kuwa na chanzo chake kingine.
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu pasipo Chanzo/Muumbaji.
Hivyo kutakuwa na msururu mrefu wa vyanzo vingi na visivyokuwa na mwisho. Kutakuwa na msururu mrefu wa waumbaji wengi, pasipo kukoma.
Hii ya kusema kwamba Mungu hana chanzo, ila Dunia lazima iwe na chanzo ni logical fallacy inaitwa special pleading fallacy.
The special pleading fallacy occurs when someone argues that a general rule applies to everyone except themselves or a specific case, without justifying why, often to avoid accountability or to protect a cherished belief.
It involves creating an unjustifiable exception when a claim is proven false.
It is generally used to make a special exception for oneself or a personal belief.
The Argument: "Everything that exists has a cause; the universe exists; therefore the universe has a cause (God)".
The Fallacy: When asked "What caused God?", the proponent replies that God is exempt from needing a cause.
Common Justification: Proponents often argue that God is an "uncaused, eternal reality," unlike the universe which began to exist.
Pia kufosi kwamba lazima Dunia iwe na muumbaji, lakini muumbaji huyo hana muumbaji wake. Ni logical fallacy inaitwa "Divine fallacy"
The divine fallacy is a logical fallacy that occurs when someone assumes that a certain phenomenon must occur as a result of divine intervention or a supernatural force, either because they don’t know how to explain it otherwise, or because they can’t believe that this isn’t the case.
The divine fallacy is important to understand, since people frequently use it in an attempt to discredit scientific theories that they disagree with, and in order to support various pseudoscientific concepts.
The divine fallacy and the God of the gaps...👇
The God of the gaps is an argument where gaps in scientific knowledge are presented as proof of God’s work. God of the gaps arguments therefore tend to have the following basic structure:
Premise 1: if science can’t explain a certain phenomenon, then it must be the work of God.
Premise 2: science can’t explain phenomenon X.
Conclusion: phenomenon X must be the work of God.
Accordingly, God of the gaps arguments are highly similar to those that involve the divine fallacy. The main difference between these fallacies is that the God of the gaps fallacy depends on what is known by the scientific community, whereas the divine fallacy depends on what is believed by the speaker.
Hance Mtanashati
Kama una amini hivyo vitu vipo.Kuona upepo kwa namna gani? Roho ni nini?
Roho ni nini?Kama una amini hivyo vitu vipo.
Basi hata Mungu yupo ila haonekani
Hauwezi kuamini upepo upo.alafu ukakataa kuwa mungu hayupo.sababu haumuoni.Roho ni nini?
Siamini juu ya Uwepo wa upepo, ila najua upepo upo. Kama ni kuamini tu naweza hata kuamini kuwa wewe ndio huyo Mungu unayefikiria kuwa ni kitu au mtu mwingine.
Mimi siamini uwepo wa upepo wala Sina haja ya kuamini.Hauwezi kuamini upepo upo.alafu ukakataa kuwa mungu hayupo.sababu haumuoni.
Mungu kaumba Dunia na watu wake na Kila kilichomo ardhini na mbinguni
Ehee Kwa hyo unavuta nini ?Mimi siamini uwepo wa upepo wala Sina haja ya kuamini.
ndo wapi haoNgoja yale majitu matatu yatue hapa Kwanza na lile swali lao moja la Kila siku mwaka Hadi mwaka. "Thibitisha "
Unamaanisha nini unaposema kuvuta? Je, wewe unavuta huo upepo?Ehee Kwa hyo unavuta nini ?
Upepo ndo hewa nduguUnamaanisha nini unaposema kuvuta? Je, wewe unavuta huo upepo?
Sio Kila hewa ni Upepo, na watu hawavuti upepo kama unamaanisha mchakato wa kupumua.Upepo ndo hewa ndugu