Hivi ulishawahi kujiuliza Mwenyezi Mungu ametokea wapi?

Utaanza kujiuliza ingekuwaje sasa hivi unapelekewa moto na ungekaa mkao upi ? Kisha utasema Kuna ubaya gani ukijaribu kidogo .
Nchi imekosa watu wengi wenye akili wapo busy na vitu vya kijinga jinga ndio maana hata wanaotawala wanatoa matamko ya hovyo kwa sababu ya watu hawa..
 
Nadhani unaweza kuwa mtafiti mzuri sana.
 
Utaanza kujiuliza ingekuwaje sasa hivi unapelekewa moto na ungekaa mkao upi ? Kisha utasema Kuna ubaya gani ukijaribu kidogo .
Wanaume wote ambao wanapelekewa moto hawakuanza kwa kujiliza haya maswali na wengi hata hawajawahi kujiuliza haya maswali, zaidi sana bado ni waumini wazuri misikitini na makanisani ambapo wanazuia kuulizia haya maswali ya mungu.
 
Kijana acha kuumiza kichwa juu ya muumba wako hutopata majibu..Hakuna aliyewahi kupata majibu sahihi toka enzi na enzi na haitotokea..ila yeye anakufaham vizuri kuliko hata wewe unavyojifaham.My take acha kumjadili fata njia alizokwambia uzifuate.
Kwa nini asijadiliwe?
 
Inafikirisha
 
Wasipokujibu, basi hayupo mpaka pale watakapotoa majibu yaliyonyooka.
 
Muda mtu anaoutumia mtu kujiuliza haya maswali ni mdogo zaidi kuliko muda unaoutumia wewe kusali kanisani au kuswali misikitini ambako huko hakutatui changamoto zozote.
 
Almighty GOD.
ametupa akili za kufikiri ila tusizidi mipaka.
Yupoje ,ametoka ,wapi n.k
Ni Siri yake.ila YUPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…