Hivi ulishawahi kujiuliza Mwenyezi Mungu ametokea wapi?

Na what if chanzo kilichomleta Mungu, ndiyo chanzo hichohicho kilicho mleta binadamu. Lakini yeye (Mungu) katu brain wash wenzie (binadamu) kwamba yeye ndiyo chanzo. Labda kwasababu alitangulia kutokea
Daah! 😂😂😂
 
Nilitaka kushangaa nisingeona comment yako.😀
 
Kama una amini hivyo vitu vipo.
Basi hata Mungu yupo ila haonekani
Roho ni nini?
Siamini juu ya Uwepo wa upepo, ila najua upepo upo. Kama ni kuamini tu naweza hata kuamini kuwa wewe ndio huyo Mungu unayefikiria kuwa ni kitu au mtu mwingine.
 
Roho ni nini?
Siamini juu ya Uwepo wa upepo, ila najua upepo upo. Kama ni kuamini tu naweza hata kuamini kuwa wewe ndio huyo Mungu unayefikiria kuwa ni kitu au mtu mwingine.
Hauwezi kuamini upepo upo.alafu ukakataa kuwa mungu hayupo.sababu haumuoni.
Mungu kaumba Dunia na watu wake na Kila kilichomo ardhini na mbinguni
 
Hauwezi kuamini upepo upo.alafu ukakataa kuwa mungu hayupo.sababu haumuoni.
Mungu kaumba Dunia na watu wake na Kila kilichomo ardhini na mbinguni
Mimi siamini uwepo wa upepo wala Sina haja ya kuamini.
 
Mambo mengi ya duniani ni ya kusadikika ili watu waishi kwa hofu na unyenyekevu.
 
Upepo ndo hewa ndugu
Sio Kila hewa ni Upepo, na watu hawavuti upepo kama unamaanisha mchakato wa kupumua.
Hewa inajulikana mpaka kiasi cha kupimika achilia mbali dhihiriko la athari zake.
Mungu wako zaidi ya Hisia zako tu, anajulikanaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…